Atajuwa wapi huyo Kiroboto kuwa Mbowe ni tajiri wakati analipwa kwa kuandika hapa jukwaani upupu.Tayari ni Tajiri kabla wewe hujazaliwa!!.. Mwenzako alikua anafanya kazi BOT wewe hata wazazi wako walikua hawajakutana!!
Uchaguzi uwe free and fear, kama kushinda ashinde kihalali.Mama mi 5 tena Lisu tupa kule
Wewe unaishi dunia gani? Hiki kilikuwa kikao cha harusi huko Mbeya?Tangu atoke jela, sijasikia kongamano la katiba mpya tena. Nasikia tu vimaneno maneno kuhusu katiba mpya huku mwenye mitandao. Hivi vimaneno vya kwenye mitandao vinatosha kweli kutuletea katiba mpya?
Kumbe ni DJ huyu mzee?Mbna DJ anaanza kupigwa nyingi!!!
Dingi ametuangusha sana ma-hustler wa mtaa ingawa shutuma zako huenda si za kweli au zina ukweliSiasa za kutembea na upepo ambazo hawa wapinzani wamezoea toka awamu ya 4 kimsingi jamaa angekuwa hajapewa fungu lake angeshalianzisha kuhusu bei za vitu kupanda mafuta na gharama za maisha ila kwa sasa kashapokea kibahasha na cheque yake anasubiria kuhamishiwa billion zake kadhaa ili apige kimya. Pia anaskilizia pendekezo lake juu ya Covid-19 litekelezwe.
Hizo ndio mbishe ambazo hayati alikuwa hawezi, kumlipa mtu ili akae kimya😅 aliwachukulia wapinzani katika uhalisia so hakuweza ku allie nao bali kuwa abolish.
Mama siku zote anahakikisha watoto wanaishi kwa amani Long live madame Prezidaa
Mkisikia civility, ndio hii, kiukweli Freeman Mbowe ni gentleman. Mtu kuzaliwa familia bora, malezi, makuzi ya kistaarabu, huwezi kuwa ropo ropo. Linganisha angekuwa yule msomi wetu...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
View attachment 2218354
View attachment 2218392
Unastahili matusi, subiriMbna DJ anaanza kupigwa nyingi!!!
How?Nadhani Mama anataka maelewano zaidi katika issue ya wale Covid 19 mjengoni.
Umelogwa, mikutano ya ndani ya makongamano ya Katiba inaendelea nchi nzimaTangu atoke jela, sijasikia kongamano la katiba mpya tena. Nasikia tu vimaneno maneno kuhusu katiba mpya huku mwenye mitandao. Hivi vimaneno vya kwenye mitandao vinatosha kweli kutuletea katiba mpya?
AmenMungu ibariki Chadema
Mkisikia civility, ndio hii, kiukweli Freeman Mbowe ni gentleman. Mtu kuzaliwa familia bora, malezi, makuzi ya kistaarabu, huwezi kuwa ropo ropo. Linganisha angekuwa yule msomi wetu.
Umekatazwa kupiga ramli, Kuna Uzi mtu kakuonya kuacha hayo mambo ya kubahatisha ukitegemea coincidence....Hata Membe leo amekuwa Ikulu ,, kabla ya Ijumaa tumepanga Zitto naye aonane na Mama !!
Mzungumzo haya Mama amemwambia Mbowe kwamba wanayafanyia kazi mapendekezo yao Lakin pia wamegusia Suala la COVID 19 Bungeni
Pia kuna mtu anakula kitengo soon
Umenikumbusha beki namba 2 Kajore enzi hizo kabla ya wengi humu JF hawajazaliwanajua kuliko wewe , hakuna tiktaka wala chogo chemba
Karibu sanaNilikuwa naitafuta hii comment[emoji1787]
Unamkumbuka MUSSA LIBABU?Umenikumbusha beki namba 2 Kajore enzi hizo kabla ya wengi humu JF hawajazaliwa
Hakuna maelewano kuhusu covid 19 , kilichopo ni kushawishi Chadema kuteua wengine , Habari ya Mdee na kundi lake imekwisha .Nadhani Mama anataka maelewano zaidi katika issue ya wale Covid 19 mjengoni.
That is the issue ila lile suala CHADEMA wakikubali any compromise na ccm watakuwa wamepoteza pambano kwa kurusha taulo