IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

Mataga mmevimba .....ndo muerewe Chadema ni Taasisi kubwa sana
Ndiyo Maana juzi Ruyagwa alitoka na kauli ya hasira ya nitagombea 2025 baada kusikia ama kupata fununu ya Aikaeli anaenda nyumba nyeupe, nini ?
 
Phylosophical argument. Umewaambia vema,Watanzania wengi kabla 1992 walikuwa CCM ya Nyerere,baada ya hapo kila mmoja alichagua kupita njia yake kupata haki ya kuongoza.

Mh.Mbowe hana njaa anasimamia uongozi wa haki ambao kwa imani ya CCM ya kisasa ni utawala.Watanzania hatuhitaji kutawaliwa bali kuongozwa.

Ili nchi ipate uongozi ni lazima tupate Katiba inayojilinda dhidi ya wanaotaka kututawala.
 
Huyu anawahitaji sana CHADEMA wakati huu, kuliko CHADEMA wanavyomhitaji yeye.

Je, Mkutano huu unahusiana na mikutano ya CHADEMA itakayofanyika karibuni? Sina shaka yoyote hilo ni moja ya jambo linalotia wasiwasi kwa bi mkubwa.
Hiyo paragraph yako ya pili ndipo napopatia shaka, japo nataka remain silent at the moment. Huu mkutano wa hao wawili unaweza kuwa na negative au positive impact kwa upande wa Chadema.

Negative; ni endapo huu mkutano wao wa siku moja kabla ya Baraza Kuu kukutana ukawa na impact kwenye maamuzi yanayoenda kutolewa na Baraza Kuu, haswa kuhusu suala la wale wanawake 19.

Naandika hivi kwasababu, nimeona CCM wamekuwa wakiwalinda wale wanawake, kuanzia aliyekuwa spika [Ndugai] na huyu wa sasa [Tulia], na hata Rais kwa ukimya wake kuwahusu [ hii kwangu naichukulia kama ana support mipango ya chama chake ili kuwalinda wale 19 bungeni].

Hapa nimepata shaka, what if; Mbowe akaambiwa na Samia, wakina Lissu na Lema warudi, ulinzi kwao utakuwepo wa uhakika, lakini nawe nataka uwasamehe wale wanawake 19?

Hapa ndipo naungana na comment yako nyingine #71 kuhusu muonekano wao kwenye picha mbili walizopiga, ukimaanisha kuna mambo wote wawili yanawaumiza kichwa kutokana na muonekano wa sura zao.

Positive; ni endapo Chadema wamepafa baraka za kufanya mkutano wao bila kuwepo na masharti yoyote, kutoka pande zote, kuhusu kile kinachoenda kujadiliwa kwenye Baraza Kuu.

Naona wengi wana mashaka, but naamini muda ni jibu zuri, tuache muda uje kuamua, tusiache hisia zikatupeleka kwenye hofu ambayo mwisho wa siku inaweza isiwe kweli.
 
Huyu anawahitaji sana CHADEMA wakati huu, kuliko CHADEMA wanavyomhitaji yeye.

Je, Mkutano huu unahusiana na mikutano ya CHADEMA itakayofanyika karibuni? Sina shaka yoyote hilo ni moja ya jambo linalotia wasiwasi kwa bi mkubwa.
Uko sahihi Tanzania inahitaji Chadema kwa sasa kuliko wakati wowote. Kule kwingine kumeparanganyika sana.
 
Kuna watu wanaumia...
Lakini tufahamu kuwa Royal Tour itaendelea kuzindua, kufungua mengi na kuirejesha Tanzania kwenye ustaarabu wa karne ya 21
Tumetoma mbali. Bado hatujafika tumeanza safari
 
Nikikumbuka zile agenda za baraza kuu la Chadema tarehe 11, Katiba Mpya iko pale, naamini hata kwenye akili ya Mbowe hapo kikaoni ipo pia.
mbowe kaenda kumtonya mama na kumtia moyo asigope Katiba Mpya kama ambavyo genge fulani linataka kumtisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…