Vito Ferari
JF-Expert Member
- Mar 31, 2022
- 290
- 416
Mbowe kaenda Ikulu kwa mambo yake binafsi, Umeona kuna kiongozi mwingine wa Chadema hapo? .Kabisa, na sioni tija Wala afya kwa Mbowe kwenda kwenda ikulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe kaenda Ikulu kwa mambo yake binafsi, Umeona kuna kiongozi mwingine wa Chadema hapo? .Kabisa, na sioni tija Wala afya kwa Mbowe kwenda kwenda ikulu.
Sijafurahia ukaaji wa Freeman mbele Ya Mama.
Mbowe ni Rais ajaye wa TanzaniaMbowe anaupiga mwingi sana
Waondolewe wale Covid 19Nadhani Mama anataka maelewano zaidi katika issue ya wale Covid 19 mjengoni.
Ndiyo Maana juzi Ruyagwa alitoka na kauli ya hasira ya nitagombea 2025 baada kusikia ama kupata fununu ya Aikaeli anaenda nyumba nyeupe, nini ?Mataga mmevimba .....ndo muerewe Chadema ni Taasisi kubwa sana
Phylosophical argument. Umewaambia vema,Watanzania wengi kabla 1992 walikuwa CCM ya Nyerere,baada ya hapo kila mmoja alichagua kupita njia yake kupata haki ya kuongoza.Ni kawaida kabisa . Hata CCM sio Moja . Kuna CCM ya Kibepari na CCM ya Kijamaa.
Kuna CCM ya wazalendo na CCM ya wawaza magendo .
Mbowe na wengine wote ni CCM ila tofauti na CCM waliopo ni kwemba waliobaki ndani ya CCM wengi ni waoga na wawaza Kwa kupitia tumbo. Ni waoga wa aina ya Mkamia. Wakifikiria njaa inayoweza kuwakumba wanaona Bora tubanane humu humu...
Mbowe anaweza kununua juusi yote ya nchi hii na kumnunua mtengenezaji wake.Kama unabisha haufiki mbinguni.
Sijaelewa
Hiyo paragraph yako ya pili ndipo napopatia shaka, japo nataka remain silent at the moment. Huu mkutano wa hao wawili unaweza kuwa na negative au positive impact kwa upande wa Chadema.Huyu anawahitaji sana CHADEMA wakati huu, kuliko CHADEMA wanavyomhitaji yeye.
Je, Mkutano huu unahusiana na mikutano ya CHADEMA itakayofanyika karibuni? Sina shaka yoyote hilo ni moja ya jambo linalotia wasiwasi kwa bi mkubwa.
Mama kama Mama wamekutana na Baba la Demokrasia nchini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
View attachment 2218354
View attachment 2218392
Uko sahihi Tanzania inahitaji Chadema kwa sasa kuliko wakati wowote. Kule kwingine kumeparanganyika sana.Huyu anawahitaji sana CHADEMA wakati huu, kuliko CHADEMA wanavyomhitaji yeye.
Je, Mkutano huu unahusiana na mikutano ya CHADEMA itakayofanyika karibuni? Sina shaka yoyote hilo ni moja ya jambo linalotia wasiwasi kwa bi mkubwa.
Hizi ndio siasa tulizotaka. Wemye roho mbaya wakafie mbeleHakika wapinzani sio maadui. Big up Mama.
Na inawauma kweli kweli.Acha uongo ina wauma kweli kweli kwasababu Zitto ni CCM ameshindwa kufanya Kazi yenu
Tumetoma mbali. Bado hatujafika tumeanza safariKuna watu wanaumia...
Lakini tufahamu kuwa Royal Tour itaendelea kuzindua, kufungua mengi na kuirejesha Tanzania kwenye ustaarabu wa karne ya 21
Wale waliokoa maisha yao. Kumpona yule jamaa ilibidi uungane naye.COVID 19 hawaelewi wafanye nini, wahenga walisema kila mchuma janga hula na wakwao.
mbowe kaenda kumtonya mama na kumtia moyo asigope Katiba Mpya kama ambavyo genge fulani linataka kumtisha.Nikikumbuka zile agenda za baraza kuu la Chadema tarehe 11, Katiba Mpya iko pale, naamini hata kwenye akili ya Mbowe hapo kikaoni ipo pia.
Mr new culture in the house. Kama roho unakuuma kasage jiwe umezeMbna DJ anaanza kupigwa nyingi!!!