mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1748346
View attachment 1748347
View attachment 1748348 Take care mama! Isije kuwa ni wito Wa mabeberu via kenya! Ila Rais Kenyatta ni mtu mzuri! Ila wasimlazimishe mama kwenda huko akiwa amevaa barakoa!
Sorry ni watu wa Kigali na si DRC.Hii vaccination ni shida huko ndugu zetu wa DRC wanalia, hebu msikilizeni huyu ndugu yetu.
Anitumie aje??? Mabeberu ndo kina Nani???I don't trust Uhuru Kenyatta, anatumiwa vibaya sana na nchi za Magharibi.Na siajabu huyo mjumbe kaleta ujumbe maalum kutoka kwa mabeberu.
Mahusiano na jirani yanarejeshwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1748346
View attachment 1748347
View attachment 1748348
Wasimshinikize kuvaa barakoa ni hilo tu! Atakuja kuvaa mwenyewe atakapoona ni vyema wala si kwa shinikizo na vitishoI don't trust Uhuru Kenyatta, anatumiwa vibaya sana na nchi za Magharibi.Na siajabu huyo mjumbe kaleta ujumbe maalum kutoka kwa mabeberu.
Mambo ya ushirikiano wa kimataifa yanarudia hadhi yake baada ya kuharibiwa vibaya mno na rais aliyeondoka.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1748346
View attachment 1748347
View attachment 1748348
You are too uninformed. So you believe there will never be a Global Goverment?So what is the United Nations and it's affiliated bodies for.The UN= The Global Government and it's affiliated bodies if you wish Ministries! Why this talk about globalization,global village etcetera. Can't you connect the dots?What is the World Economic Forum for,do you really folow it and see what it says about the One World Government? And how about the Bildeberg Group do you know what it is all about?Umelela sana mkuu,wake up.The talk about the Global Government is all over,and is being implanted right in front of our very eyes.Hamna kitu kama hicho.
Odhis *
Haifunguki mkuu,jaribu tena kuileta.Hii vaccination ni shida huko ndugu zetu wa DRC wanalia, hebu msikilizeni huyu ndugu yetu.
Nani akae sehemu haina upepo wa bahari?Samia ameamua kurudisha makao makuu ya serikali Dar? Maana siku za karibuni shughuli nyingi za Ikulu zinafanyikia Dar badala ya Dom.
Ila msitambe sana,kwa kuwa Taifa lina brake zake,na ninyi mafisadi msisahau kwamba Samia hajateuliwa na wananchi na Chama,kwa hivyo si chaguo la Watanzania.Anitumie aje??? Mabeberu ndo kina Nani???
Kama mwendazake aliweza kuwabrainwash kwa fikra zake za miaka 1960 huko basi jueni kuwa nchi sasaivi iko mikononi mwa watu wenye akili na wanaojitambua na wanaojua dunia iko wapi na inaenda wapi?
Urafiki zetu na hawa wajamaa ni Urafiki wa mashaka. Ukizubaa umeliwa, tukizubaa tumeliwa.Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.
Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.
Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.
Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.
Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.
Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Watakuwa bado hawajapata Mkurugenzi mpya wa Mawasiliano ya RaisHuyu Gerson Msigwa ana vyeo vingapi?
Kabisa mkuu sasa hivi nchi imeshatoka kwenye mikono ya ccm sasa ipo mikononi mwa chadema!Anitumie aje??? Mabeberu ndo kina Nani???
Kama mwendazake aliweza kuwabrainwash kwa fikra zake za miaka 1960 huko basi jueni kuwa nchi sasaivi iko mikononi mwa watu wenye akili na wanaojitambua na wanaojua dunia iko wapi na inaenda wapi?
Naona ndio maana yake.Safi sana, kawahi kabla ya hajaenda kwa Mu7.
Inawezekana pia ikawa ni juhudi za wanaluninga kujipendekeza kwake; awakatalie hilo.Swafi!
Cha msingi asituboe na kuonekana kila dakika saa,siku,juma au mwezi kwenye tv.
Achape kazi siyo kuuza sura runingani.