Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ila nadhani kupitia hilo tukio kajifunza kitu.
 
Haya sasa wapiga ramli mpo... Yule mjinga mwenzenu Kigogo2014 kule kijiweni kwa watu wasio na kazi muendelee kumsikiliza tu.

Chuma hicho hapo kesho tunaendelee kutumbuatumbua kama kawaida..

Mijitu mizima na familia zenu mpo busy kutetea ujinga ujinga eti Kigogo kasema twitter, jitu limesoma kabisa lina degree na wengine PHD wako busy na ujinga ujinga, kum-a-ma-ye zenu.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Watu wamepata tumbo la kuhara
 
Mi nilisha wambia acheni uzushi wenu angalia sasa mnaumbuka mtaficha wapi sura zenu na master mind wao kigogo Leo sijui atapost mini mjinga yule
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Wanadhani akifa wataamka wakiwa wametajirika.
 
Ha ha! Imebidi wengine tutoke kwenye majukwaa ya mapenzi kwenda kuangalia jukwaa la siasa kuna Nini!!! Nilichogundua Kuna vilaza wengi tu huko kwenye siasa tuwakaribishe kwenye majukwaa mengine yanayoonekana ya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…