Wewe ndio juha namba moja....tutaendelea kuomba Hadi Mungu atendee!Kwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.
Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.
Just stupid beyond belief.
Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.
Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...
Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??
Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??
Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.
Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?
Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?
Bure kabisa.
Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.
Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo [emoji1787]].
Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.
Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?
Kwendeni zenu huko.
Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.
Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......
Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]
We nyani huoni kundulo, si ndo nyie mlishangilia Tundu alipopigwa risasi 40?Kwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.
Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.
Just stupid beyond belief.
Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.
Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...
Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??
Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??
Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.
Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?
Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?
Bure kabisa.
Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.
Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo 🤣].
Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.
Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?
Kwendeni zenu huko.
Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.
Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......
Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]
Waliofurahia ni wale WAPUMBAVU,MALOFA.......hawa ni wachache mno,ila kwakua walikua wakiongea wenyewe,walionekana ni watu wengi.Rais wa nchi kuzushiwa kifo na watu kufurahia unaona Taifa liko moja?
Afu vingi vyao vinavyochochea ni vitoto vilivyojazwa ujinga pale Ufipa!
Aisee hebu achemi ujinga watanzania...Acha maneno jibu hoja.
View attachment 1239351
Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa
Hii me jitu inaboa ile mbaya sijui ilizaliwa usiku sasa Magufuli akifa ndo utakuwa tajiri sijui inapata faida kufanya hiv hi mijitu hawana ubinadamu kabisa.Isije maombi yenu mabaya yakawageukia nyie wenyewe.Naunga mkono hoja ya mtoa mada.
Mbona ww upo humu? Huutaki ugali?Tafuta ugali wa watoto wako mle mlale
Mambo ya siasa achana nayo kwa sasa
Skyeclat+Asprin¬>AshaDii ¬>Mayasa ¬>KigogoNilimuelewa msimamo wake wa kutokubali uongozi huu, ila hii ya kushangilia 'kifo' cha kiongozi wa nchi kusema ukweli ameniacha na maswali mengi sana
Utakuwa hukumuelewa