Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Kuelezea upumbavu wa watz hasa kutoka vyama pinzani utaishia kulala mlango wazi
 
NAJIULIZA TU ATAENDA WAPI KUTIBIWA?

ULAYA ANAWAITA MABEBERU.

SOUTH ANA KINYONGO NA BOMBARDIER KUKAMATWA.

LABDA INDIA? AU CHINA

MNH HAKUNA MADAKTARI WALITUMBULIWA WOTE, VYETI HEWA
hata Nairobi aweza kwenda
 
Yupo mzima. Si unaona huyo Kigogo wenu anavyofeli.Leo kafeli tena. Mwambieni awaonyeshe kaburi la Nyaulingo.

Nyaulingo hakusema kafa bali alisema kavunjika miguu yote anaugulia Hospt
 
Haya Vicky nchimbi ulivyoligema utalinywa
 
Hahaha
Hahahaaa ulidhani Kiswahili sikimanyi?

Ngoja nisiseme sana maana nikisema nitaishia kuonekana mtaraghani bure.

Nipo safarini kuelekekea Mijikenda...


Hahaha

Neno MTARAGHANI msamiati mpya mkuu.

Wasalimie MIJIKENDA mkuu.
 
Vizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
 
Yeye mwenyewe ndo kaleta siasa za hovyo.Kuna Watu walishangilia Lowassa na afya yake na kuna wengine walishangilia Lissu kupigwa risasi we are divided National
 
Vizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
 
ila mimi Mshana Jr alinitisha na lile lipicha lake,niko tofauti na Magufuli ila sio kiwango cha kumuombea kifo..i'm sure jana kuna watu pressure zilipanda juu..na wengine wameudedi kiukweli kweli sababu ya kilichokua kinaendelea....kwa kweli aliyeanzisha huu uvumi..ni malicious....alichofanya sio powa kabisa
 
Tumepoteza brain muhimu kwenye ujenzi wa nchi yetu eti kisa uroho wa madaraka wa bushman mmoja
 
Kwa hiyo na wewe unataka kutwambiaje sasa kwamba rais kafa au?
. Huu upumbavu mwingine mbona hata watoto wachekechea hawana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…