Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Tulieni tu, ila hamna kulialia tena! Naombea safari hii mukanyagwe kwelikweli mafwala kabisa nyie na viongozi wenu
Wote ambao wanakataa ukweli kwamba Mh Rais alipata tatizo ni washamba tuu ambao wanakula kipindi hiki kwa migogo ya wanao onewa.

Inasikitisha sana kuona binadamu anafurahia binadamu mwingien kupigwa risasi au kupotezwa.. huo ni upimbi.
 
Kiranga ni wewe au mtu anatumia account yako..!?

Ni asilimia ngapi ya wanaomchukia imeongezeka ukilinganisha na waliokuwepo alipoingia madarakani?

Inawezejana pia kuwa Wanaomwombea kifo ni walewale ambao hawakumchagua alipoingia madarakani.
Usijipange kuweza kutabiri nitakachoandika hapa, hata siku moja.

Kwa sababu utakapofikiri unanijua, utakuta hunijui kihivyo bado.

Ambao hawakumchagua alipoingia madarakani ni asilimia ngapi?

Marais waliopita walichaguliwa kwa asilimia ngapi?

Kuna rais aliombewa kifo kama ilivyotokea hivi kwa Magufuli?
 
nachokiona mimi ni watu kutoona mbali maana yale maisha ya kukaa chumban na kupiga simu hela inaingia yameisha. Watanzania tukanye kazi ile Tanzania ya kupiga deal.imeisha
 
Lakini tafakari jinsi Rais wa nchi anavyo kabiliwa na mambo yanayo ashiria ni mtu ambaye ameqafanyia unyama raia wake.

Watanzania sio wepesi wa kulalamika kwa mdomo lakini ni watendaji zaidi
Kwa hiyo?

Wapo wanaompenda.

Na hakunaga apendwaye na wote.
 
Yaani ungefuatilia hizo tetesi hadi inaona aibu. Watu wakawa wanaposti picha Za mama Samia halafu sasa wanasema "hawakumaanisha"

..hivi mnashangaa nini?

..mbona hakumshangaa wakati wana-ccm wakishangilia Tundu Lissu kupigwa risasi?

..mbona hamshagai wanaofurahia kuwa sasa Tundu Lissu ana mguu mmoja mfupi, amekuwa mlemavu?

..mbona hamkushangaa Katibu Mkuu wa CCM aliposema Tundu Lissu anadeka? Au Naibu Waziri Waitara aliposema ndani ya bunge kwamba Tundu Lissu alistahili "kutangulizwa"? Au Raisi Magufuli alipodai jimbo la Singida Mashariki lilikuwa limetelekezwa?

..hata mtoa mada Nyani Ngabu amekuwa kinara wa kumcheka na kumbeza Tundu Lisuu, akidai kuwa anavaa " raba mtoni . "

..mtoa mada ndiye kinara wa kubeza na kuchekelea wapinzani wanapofikwa na matatizo / balaa, halafu anashangaa baadhi ya waTz kuwa na chuki na upande anajinasabisha nao.

..haya yanayotokea ni matokeo ya UKATILI na DHULUMA wanazofanyiwa viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani.

NB.

..sijui kama unakumbuka alichokisema Mwalimu Nyerere kuhusu Wanyarwanda waliokuwa Mwanza, waliofurahia tukio la kuanguka / kuangushwa kwa ndege iliyombeba Raisi Habyarimana.
 

Mambo ni shwari wewe unashinda na mitandao ndo huwajui wabongo
 
si angekufa tuone?
 
Hakuna lililojificha Sasa mbali nautetezi wanaomtetea hapa jukwaani kifupi watu wengi sana more than 2/3 hawampendi.

Hicho ndicho nilichokiona Mimi. Jamaa hawamtaki kabisa.
 
Hilo nilikua nina liwaza kwamba kama ni kweli polisi wangefanyaje kuzuia raia kusherekea aa if taifa stars imeshinda na kuleta aibu kwa taifa hili.

Mungu mwema.ameepusha hilo.
Vizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
 
kuna uvumi mwingine huku eti ni recorded nishachoka sasa
 
Hizi habari zina 50% ukweli.. kuhusu kuumwa nauhakika ni kweli maana hata msigwa huko insta anapost gospel tuu.[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio wazushi tu. Ni majuha pia!

when the game is over everybody turns to be a coacher with lots of opinions.

mlikuwa wapi kumtetea mh. raisi kipindi chote hiki cha rumors siku mbili mpaka mmeona kajitokeza mwenyewe na afya yake njema then gafla mmejitokeza na kuwa experties wa kujifanya watetezi wake.
Credit kwako mh raisi mungu azidi kukujalia afya njema, achana na wanafiki wanao jitokeza sasa hivi na kujitia wako nawe
 
Huyu mpuuzi atajutia ujinga wake
 
Nimekuelewa sana!
'Siku hazigandi'
 
Awamu ya 5 imetugawa sana watanzania na soon tutakua kama nchi nyingine za africa zenye roho za kishetani.
 
Umeibuka ghafla. Uliufyata kama mbwa koko wa gamboshi.
Ila magufuli ni mgonjwa. Anaonekana tu.
 
Nyani Ngabu wewe pia ni juhaa....pitia hii comment inaonyesha dhahiri ujuha wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…