Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
johnthebaptist , kama kuna kitu kizuri kisichokuwa na hila ndani yake, Rais akikifanta nitakipongeza. Ishu ya msikiti na kiwanja cha wazi, uamuzi wa Rais kuwa tukiacha kila sehemu ya wazi ijengwe, basi na Azania Front itaombwa ijengwe.Kitendo cha aliyekuwa RC wa Arusha Mrisho Gambo kutaka aonekane ni mtu mwema huku akiwasiliba viongozi wenzake waonekane wabaya kwa hakika siyo jambo jema.
Kiukweli dhambi ikikomaa matokeo yake ndio haya, Gambo alianza na mbunge Lema lakini hatimaye kaondoka na DC na Mkurugenzi wa jiji huku akiwaacha RPC na Kamanda wa TAKUKURU wakikalia kuti kavu.
" Uswahili swahili" siyo mzuri kwenye uongozi.
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Makonda na Ole Sabaya walivyopania sasa...
Exactly; hii ndio maana halisi ya "kuna maisha baada ya siasa". Hakuna jambo muhimu kama uungwana hata kwa wale usiokubaliana nao kimawazo katika uga wa kisiasa na kiuongozi kwa ujumla. Gambo yeye kila aliyehitilafiana naye kimawazo kwake alikuwa adui which was wrong!Nyie si mlimkuwa mnampinga lema
Alipoona kamalizana na lema wakavamiana wao wenyewe!
Sasa kwa style yake ya uongozi huko jamii ataishi nayo Vp.... Hivi watu wa arachuga Unawajua unaweza kutengwaaaa
Cheo ni dhamana, Kuna Maisha baada ya uongoziii
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
”Unaweza kupita kwenye kura za maoni, lakini ‘nikakukata’ itategemea siku hiyo nimeamkaje”.
Hii kauli ni habari kamili!
Ongezea na habari pale inaposikika kuwa ' kwa kutoridhika na nafasi uliyo nayo kwa sasa, unaenda kugombea ubunge kwa matarajio atateuliwa kuwa waziri. Na nisipokuteua?' Hivi kuna haja ya kufanya uchaguzi wa uraisi?' Uchaguzi ni danganya toto km hakuna time huru.”Unaweza kupita kwenye kura za maoni, lakini ‘nikakukata’.... itategemea siku hiyo nimeamkaje”.
Hii kauli ni habari kamili!
Kilichomponza zaidi ni kutaka kutoa eneo la wazi kwa Waislam ili apate Kura za ubunge. Mkurugenzi alipogoma kutoa kiwanja RC akaenda kumchongea kwa Waislamu na kuanzia kimkoromea sasa mchizi Kala waya. Hapana chezea Magufuli.View attachment 1485853
“Nimewatimua RC,DC na DED Arusha kwasababu katika kipindi cha miaka miwili walikua wanagombana tu, kila mmoja anajiona Boss, kila mmoja anamtengenezea mizengwe mwenzake, waliniudhi, wanafanya kazi ila nilichukia kuona hawashirikiani, sitaki yakajirudie”
"Nimeona viongozi hawa wapumzike kwanza kama kubishana wakabishanie huko huko uraiani ndani ya Serikali hapana liwe fundisho mvumiliane, kama kubishana na kugombana kagombane na mkeo na watoto wako ndani ya Serikali hapana tuzingatie sheria na maadili na viapo" Rais Dkt John Magufuli.
Kuwafukuza hawa inakusaidia nini?Rais katika kusema kweli hajawahi kutuangusha. Ukiyafanya sarin yeye anayalerta sisi wanyonge tunayasikia. Sasa waje wapambane na khali ya kitaa.
Jidanganye tu,Makonda hana cha kufanywa na mtu yoyote yule nchi hii.
... alitokea Korogwe kama DC; mteule enzi za Kikwete.Kabla ya kuwa RC huyu dogo alikuwa mtumishi wa idara gani?
Na huo muda ndio alioutumia kuonyesha yeye ni kipenzi cha baba kweli kweli na watu walivyokuja kuelewa hilo wakaamua ku-keep low profile tu ili yeye ajione ni mbabe/mshindi/gangwe.Ila hana nguvu kama 2016 hadi 2018