Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Nyie si mlimkuwa mnampinga lema
Alipoona kamalizana na lema wakavamiana wao wenyewe!
Sasa kwa style yake ya uongozi huko jamii ataishi nayo Vp.... Hivi watu wa arachuga Unawajua unaweza kutengwaaaa
Cheo ni dhamana, Kuna Maisha baada ya uongoziii

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
“ Mkurugenzi wa TAKUKURU na IGP mkawaambie watu wenu wa Arusha wafanye kazi, Nilikuwa nawatumbua RPC wa Arusha hii leo lakini nimewasamehe, waambieni wafanye kazi waliotumwa ”. Rais Magufuli

Chanzo: ITV Tanzania

Je, kuna mwana JamiiForums yoyote labda anaweza akabahatisha na Kutuambia kile ambacho RPC wa Arusha katumwa na Mkemia?
 
Kitendo cha aliyekuwa RC wa Arusha Mrisho Gambo kutaka aonekane ni mtu mwema huku akiwasiliba viongozi wenzake waonekane wabaya kwa hakika siyo jambo jema.

Kiukweli dhambi ikikomaa matokeo yake ndio haya, Gambo alianza na mbunge Lema lakini hatimaye kaondoka na DC na Mkurugenzi wa jiji huku akiwaacha RPC na Kamanda wa TAKUKURU wakikalia kuti kavu.

" Uswahili swahili" siyo mzuri kwenye uongozi.

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
johnthebaptist , kama kuna kitu kizuri kisichokuwa na hila ndani yake, Rais akikifanta nitakipongeza. Ishu ya msikiti na kiwanja cha wazi, uamuzi wa Rais kuwa tukiacha kila sehemu ya wazi ijengwe, basi na Azania Front itaombwa ijengwe.

Kwa hilo namsifu, uamuzi usiokuwa na hila! Akifanya zuri halina hila tutampongeza! Viwanja vya wazi viachwe wazi.
 
Hapo namuunga mkono Rais, haiwezekani kwenye management kusiwe na team work, Gambo ulichemka hata kama kunatofauti baina yako na walio chini yako usingezionyesha hadharani.
 
Tatizo ni yeye wala sio hao wateule wake, yeye anateua kila post kila mtu anajiona ni mteule wa rais kwanini wasiwe na viburi, maana mkuu wa mkoa hawezi kumwajibisha mkuu wa wilaya wala mkurugenzi. Matokeo yake ni kuvimbia na kutunishiana misuli tu.
 
Nyie si mlimkuwa mnampinga lema
Alipoona kamalizana na lema wakavamiana wao wenyewe!
Sasa kwa style yake ya uongozi huko jamii ataishi nayo Vp.... Hivi watu wa arachuga Unawajua unaweza kutengwaaaa
Cheo ni dhamana, Kuna Maisha baada ya uongoziii

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Exactly; hii ndio maana halisi ya "kuna maisha baada ya siasa". Hakuna jambo muhimu kama uungwana hata kwa wale usiokubaliana nao kimawazo katika uga wa kisiasa na kiuongozi kwa ujumla. Gambo yeye kila aliyehitilafiana naye kimawazo kwake alikuwa adui which was wrong!
 
“ Mkurugenzi wa TAKUKURU na IGP mkawaambie watu wenu wa Arusha wafanye kazi, Nilikuwa nawatumbua RPC wa Arusha hii leo lakini nimewasamehe, waambieni wafanye kazi waliotumwa ”. Rais Magufuli

Chanzo: ITV Tanzania

Je, kuna mwana JamiiForums yoyote labda anaweza akabahatisha na Kutuambia kile ambacho RPC wa Arusha katumwa na Mkemia Mwandamizi?
 
”Unaweza kupita kwenye kura za maoni, lakini ‘nikakukata’.... itategemea siku hiyo nimeamkaje”.

Hii kauli ni habari kamili!
Ongezea na habari pale inaposikika kuwa ' kwa kutoridhika na nafasi uliyo nayo kwa sasa, unaenda kugombea ubunge kwa matarajio atateuliwa kuwa waziri. Na nisipokuteua?' Hivi kuna haja ya kufanya uchaguzi wa uraisi?' Uchaguzi ni danganya toto km hakuna time huru.
 
Huyu Magufuli aache roho mbaya kwa wengine,hiyo tamaa ya madaraka ndiyo imemfikisha yeye kuwa Raisi wa JMT vinginevyo angeendelea kuwa mwalimu mwenye Diploma huko Sengerema Secondary School.

Kila mjanja ana donto ya kupata mafanikio zaidi. Magufuli acha roho mbaya wakubwa wako wangekuwa na roho mbaya kama wewe husingefika hapo ulipo
 
View attachment 1485853

“Nimewatimua RC,DC na DED Arusha kwasababu katika kipindi cha miaka miwili walikua wanagombana tu, kila mmoja anajiona Boss, kila mmoja anamtengenezea mizengwe mwenzake, waliniudhi, wanafanya kazi ila nilichukia kuona hawashirikiani, sitaki yakajirudie”

"Nimeona viongozi hawa wapumzike kwanza kama kubishana wakabishanie huko huko uraiani ndani ya Serikali hapana liwe fundisho mvumiliane, kama kubishana na kugombana kagombane na mkeo na watoto wako ndani ya Serikali hapana tuzingatie sheria na maadili na viapo" Rais Dkt John Magufuli.
Kilichomponza zaidi ni kutaka kutoa eneo la wazi kwa Waislam ili apate Kura za ubunge. Mkurugenzi alipogoma kutoa kiwanja RC akaenda kumchongea kwa Waislamu na kuanzia kimkoromea sasa mchizi Kala waya. Hapana chezea Magufuli.
 
Rais katika kusema kweli hajawahi kutuangusha. Ukiyafanya sarin yeye anayalerta sisi wanyonge tunayasikia. Sasa waje wapambane na khali ya kitaa.
Kuwafukuza hawa inakusaidia nini?
 
Ila hana nguvu kama 2016 hadi 2018
Na huo muda ndio alioutumia kuonyesha yeye ni kipenzi cha baba kweli kweli na watu walivyokuja kuelewa hilo wakaamua ku-keep low profile tu ili yeye ajione ni mbabe/mshindi/gangwe.
 
Back
Top Bottom