Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Usitutishe bhana!
 
Namba hazidanyi, umma wa Watanzania Wana nguvu kuliko vyombo vya Dola,

Muhimu, sikilizeni Wana chi wasemacho, shughulikieni watu wasiuawe, wasipotezwe Wala kutekwa.
Vyombo vya dola vinaendelea na kazi nzuri na njema ya kulinda usalama wa Raia na mali zao na ndio maana unaona amani,utulivu na usalama vikitawala na kutamalaki Nchini huku watu wakiwa na furaha ya kufanya biashara na shughuli zao saa 24.
 
Picha tuma hapahapa.

Namba gangu itakuingiza matatani. Usipaparikie usiowajuwa.
Wewe ni Binadamu tu Bi Faiza, hivi miaka ile unamkumbuka Member anaitwa Barubaru ? Alikuwa Ni Head of finance and Admnistarion Gulf Oil mbona namba alinipa na nikampigia ni mtu na heshima zake mpaka Mawaziri na Rais wa kipindi kile miaka ya 2010 alikuwa anaitwa State house? Mgongano wa Mawazo sio lazima nikuogope. Wewe ni Binadamu kama Mimi tu
 
Muongo sana wewe
 
Vyombo vya dola vinaendelea na kazi nzuri na njema ya kulinda usalama wa Raia na mali zao na ndio maana unaona amani,utulivu na usalama vikitawala na kutamalaki Nchini huku watu wakiwa na furaha ya kufanya biashara na shughuli zao saa 24.
🤣🤣🤣🤣
Tatizo lako unachokiandika hukielewi na unajiandikia tu. Unakumbuka lile tukio la Tunisia mwaka 2011 ? Vyombo vya dola vilifanya nini? Acha kuwa muoga na mtumwa wa akili yako. Wewe umeumbwa na Mungu na maisha yako Mungu ndio anayejua kwanini leo hii maisha yako umeyafanya yaendeshwe na mtu ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…