Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Tusipoona waliomuua Kibao wanakamatwa hicho kikao hakina maana,tusipoona mafwele anapandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutaka kumuua sativa kikao hakina maana,tusipoona waliotekwa na mafwele wanapelekwa mahakamni hicho kikao hakina maana.
Wachunguzi hawachunguzi tu nani kauwa. Muhimu zaidi ni kwanini (motive) kauwa.
 
Wewe ndio huna mvuto na kubakia unatapatapa tu.
🤣🤣🤣🤣
Kusema kweli Mama yako kapoteza mvuto aisee, kumbe wakati anaingia alikuwa anaongea maneno tupu sasa hivi kabadirika kabisa. Sijawahi kusikia wala kusoma sehemu.......
Eti anaifungua dunia yaani ni uongo uongo tu. Kajichanganya sana aisee
 
Mkuu vijana wa umri wako wanamiliki nyumba nzuri ,biashara ,magari mazuri na familia.

Uchawa haulipi bwana mdogo sana. Badili mindset uliyo nayo.

Kama una taaluma fanya vitu chanya vitakavyokufanya ufikie malengo.

Kuja kujitoa fahamu humu utachelewa sana. Uchawa si maisha.

Mengi unayopost humu ni kielelezo cha mtu mwenye elimu lakini hajaelimika.

Bado hujitambui na hujui Lucas anataka nini ktk maisha.

Karibu kwa povu na mipasho.
NB: BTW NANI ANAJALI!
Asante kwa mawazo yako .hiyo ndio democrasia ambayo Mama yetu Mpendwa Mama Samia ameileta katika Taifa letu.
 
🤣🤣🤣🤣
Kusema kweli Mama yako kapoteza mvuto aisee, kumbe wakati anaingia alikuwa anaongea maneno tupu sasa hivi kabadirika kabisa. Sijawahi kusikia wala kusoma sehemu.......
Eti anaifungua dunia yaani ni uongo uongo tu. Kajichanganya sana aisee
 
Wewe l

Wewe maandamano yako ni yanaanzia na kuishia nyuma ya keyboard tu.

Ingia mitaani ututumie picha.
Mimi napenda maandamano ile mbaya mwaka 2010 Zanzibar tulikesha Bwawani Hotel, Maalim Seif (rip) kamkazia Dr Shein na watu tulikuwa nje tayari kwa lolote lile. Busara na diplomasia za Mzee Mkapa (rip) ndio zilimfanya Maalim Seif kuwa muungwana ndio akaja kutuambia. Wapemba wote tutaingia Ikulu. Maandamano kama kawaida Bi Faiza
 
Mtaji wenu ni hao Dhiki boys mliowapa sare Maana mnajua hamstahili kutawala chochote zaidi ya wajinga even punda angewakataa.

Naona IGP-CCM kapeleka Watch List na Kill list ya next episode.
 
Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.
MZUKA RUHANI WA PARAMILITARY WALIOUNDA UMEWAPA MTIHANI

Hii lugha haijakaa sawa, haiwezekani IGP kuwa na mazungumzo marefuvna Amiri Jeshi Mkuu...

Hapo kuna mawili IGP anaaga kujiuzulu nafasi yake huku akimwambia rais wale watu wasiojulikana nimeshindwa kuwakabili maana wapo nje ya mfumo rasmi wa majeshi ya TPDF, PRISONS, IMMIGRATION, TISS, MGAMBO, TANAPA, FORESTRY na hajui ni nani alianzisha kikosi hicho cha paramilitary wala hao watu huripoti kwa nani nikaongee naye


Hili zimwi la paramilirary (watu wasiojulikana) ni kama lile la RAPID SUPPORT FORCE kule Sudan ambalo limeshindikana linapambana na jeshi rasmi la Sudan hadi leo huku raia wakikimbia

The Rapid Support Forces (RSF; Arabic: قوات الدعم السريع, romanized: Quwwāt ad-daʿm as-sarīʿ) is a paramilitary force formerly operated by the Government of Sudan. The RSF grew out of, and is primarily composed of, the Janjaweed militias which previously fought on behalf of the Sudanese government.
 
Back
Top Bottom