Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Muongo sana wewe
Hunijui sikujui na wewe upo humu JF kwa ajili ya propaganda kusifia sifia. Kuna Member anaitwa Barubaru ni Dr wa darasani sio za honorable hizo. Nilishawahi kuonana maye na namba yake bado iko PM. Tofauti za kifikira na mawazo sio uadui. Na nyinyi CCM wa hovyo hovyo kama wewe mtu akiwa kinyume na mawazo yako au itikadi tayari ashakuwa adui mpaka kwenye maisha ya mtaani. Huo sio mpango. Wewe humu JF bado kinda sana. Na hii JF ya sasa hivi imepoa. Usibishane na watu wewe endelea na itikadi zako tu.
 
IGP atoka akibubujikwa machozi kwa upendo alioonyeshwa na mama
 
Lazima tuandamane J3 iwe jua iwe mvua mpaka kieleweke,na safari hii hata Mbowe akisema tusitishe hatutamuelewa kama wameamua kutuua wacha watuue tu kwani hata bila maandamano kufa tutakufa tu,ila ndiyo wajue damu yetu itakuwa juu ya vichwa vyao na Tanzania haitakuwa ile tena damu yetu ndiyo itakuwa ukombozi wa kumuondoa mkoloni mweusi. ALUTA CONTINUA.
 
Kufuatia pressure kubwa kutoka CHADEMA chama cha siasa kinachopaza sauti kwa niaba ya raia wasiokuwa na sauti na kuaminiwa sana na wananchi, hili la kutoka maktaba hapa chini linaweza kutokea

Toka maktaba:

Hapa siyo Tunisia na wala sisi siyo watunisia. Kama unajiamini nimeshakwambia kuwa ingia barabarani uandamane halafu uje hapa jukwaani kusimulia.
 
Hapa siyo Tunisia na wala sisi siyo watunisia. Kama unajiamini nimeshakwambia kuwa ingia barabarani uandamane halafu uje hapa jukwaani kusimulia.
Nyie mnajua kitu kimoja tu. Kuwazuia Chadema milichosahau ni kuwa nchi imeoza kila sehemu, hakuna Kilicho bora wala siyo Jeshi wala la TISS. Tukitaka kufanya yetu ni rahisi kuliko ujuavyo. Tunaingia hadi ndani na tunatoka tupendavyo
 
Wewe endelea kuropoka tu kama mlevi wa gongo
 
Hao Polisi ni Wanyonyaji sana Mwanangu 🀣🀣🀣
Ninataka niwaburuze mbele za haki
Muulize Bon yai aliyejifanya mbabe lakini Mwisho wa siku alikamatwa na kutupwa kwenye defender na kubakia ametulia tuli kama kuku aliyeloa.
 
Endelea kulamba viatu tu ila usitupigie kelele. Sasa hapa umeandika nini? Nini ujumbe wa kikao chenyewe? Kama hakujua wameongelea nini, taarifa yako kwetu ina umuhimu gani??
Uandishi wa kitoto kabisa!!!
 
Wala usipaniki ndugu yangu.wewe kaa kwa kutulia na endelea kunifuatilia bila kuchoka wala kukaa mbali na jukwaa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…