Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Mungu akikuacha uanguke, unajikuta unafanya mambo bila kufikiri mara mbili.

Hiki kikao na picha mnazozisambaza na anazozisambaza ni bank ya ushahidi dhidi yake ambapo hata unywele mmoja wa mlwaandamanaji ukianguka ni matokeo ya kikao hiki hapo Ikulu.

Mungu amemkataa Samia
Mioyo ya Watanzania imemkataa Samia.
Bunduki na risasi ndivyo pekee anavitumia dhidi ya wanaompinga hadharani

Anatamani wote tufe
 
Mafunzo kwa ajira mpya Polisi lini maana muda umepita toka kimalizika kwa michujo vijana wapo tayari kwenda kujiunga na idara Polisi
 
Duuu Leo ndo nmejua jana walizungumza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…