Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #321
Ingia barabarani unyooshwe na kushikishwa adabu.Dogo hajitambui hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia barabarani unyooshwe na kushikishwa adabu.Dogo hajitambui hata kidogo
Mungu akikuacha uanguke, unajikuta unafanya mambo bila kufikiri mara mbili.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.
Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika kilele cha maadhimisho ya miaka
60 ya Jeshi la Polisi na mkutano mkuu wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi . iliyoitikisa ,kuitetemesha na kuiteka Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na kupongezwa na watu mbalimbali Duniani Kwote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma Pia: Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania
Anayekushurutisha uitii sheria naye ni gaidi.Usipotii sheria bila shuruti basi ni lazima utashurutishwa utii sheria
Wewe BUMUNDAIngia barabarani unyooshwe na kushikishwa adabu.
Wala isipige mayowe hapa .kama unajiamini wewe ingia na pua yako barabarani.Wewe BUMUNDA
Kama una hasira ingia barabarani ukalale.Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
Wewe akili zako zipo matakoniSasa kwanini unatukana Mimatusi kama kichaa au mwendawazimu.au wewe ni mgonjwa.
Kama una hasira kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hata ukifaWewe akili zako zipo matakoni
Unaweza wewe ukawa ni mbumbumbu zaidi yangu kwa kufikiri unajua mambo kumbe hujui lolote.Wewe ni mbumbumbu
Machawa wa Mbowe kila kitu wao ni kupinga. SSH anagusa maisha ya mtu wa kawaida huko mkoani.
Duuu Leo ndo nmejua jana walizungumza niniNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.
Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika kilele cha maadhimisho ya miaka
60 ya Jeshi la Polisi na mkutano mkuu wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi . iliyoitikisa ,kuitetemesha na kuiteka Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na kupongezwa na watu mbalimbali Duniani Kwote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma Pia: Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania
Endelea kutuliaDuuu Leo ndo nmejua jana walizungumza nini
Hivi hamuwezi kufika nae 2045?Tunatamba na Mama hadi 2035 panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu
Tutafika naye mpaka akatae Mwenyewe.maana sisi watanzania tunampenda sana Rais wetuHivi hamuwezi kufika nae 2045?
Hapa ndo umejitetea vizuriTutafika naye mpaka akatae Mwenyewe.maana sisi watanzania tunampenda sana Rais wetu
CHAWAWala isipige mayowe hapa .kama unajiamini wewe ingia na pua yako barabarani.
Mimi siyo chawaCHAWA
Mungu ibariki Tanzania