IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Too much taxation inaua biashara na haijengi nchi.
Nchi gani ilikufa kibiashara kwa ajili ya kutoza Kodi? Na chanzo Cha Kodi, ukiacha Kodi za kiajria, SDL, PAYE and likes, Ni Kipi zaidi ya biashara?
 
Yaani kasema kabisa Abul Gamal Nasser
Kwa kweli kazi tunayo maana mimi namjua Jamal Abul Nasser
Lakini kwa mradi huu hongera sana maana tunawajengea watoto wetu wafaidi
Tuumie tu Lakini yajayo ni mazuri
 
Huu mradi na reli ni lazima labda upigie kelele mingine.
 
Ukiyataka maendeleo huwezi kukwepa gharama. Kuna mambo ya msingi tulikuwa hatuyafanyi, na yana gharama kubwa.

Huwezi kuutegemea uchumi ambao msingi wako hauna uhusiano na uzalishaji wa ndani.

Kutegemea uchumi usiokuwa na misingi ya ndani, ni kujidanganyana, kwani utaishia kutumia fedha nyingi za kigeni kununua vitu kama vijiti vya kuchokonoa meno.

Wenye akili inayoona mbali wanaelewa maana ya mradi kama huu wa stieglers gorge.
 
Je utekelezaji wa usambazaji wa umeme wa gesi umetumika kwa kiasi gani? .Tumekuwa na vipa umbele(priorities) vinavyogharimu fedha nyingi za mikopo.Ingefaa tumalize kipa umbele kimoja ka cha kutengeneza reli ya kati,uchumi wetu ungepaa maana usafirishaji wa mizingo inayokwenda nchi jirani ungeongezeka ,barabara zetu zingedumu nk.
 
Hydro ni cheap Sawa maana si unatumia maji kwenda kusukuma yale mamitambo mafuta hutumi kwa kiasi kikubwa sana mafuta inatumia ku lubricant mamashine...
Sema mradi utachukua miaka si chini ya 10 au zaidi kuisha....si umeona wa Ethiopia mpk leo wanajenga
Changamoto tu uaribu wa Mazingira,mambo ya global warming......
Ila waombee sana mvua zinyeshe mvua ikijanyesha syo kwa wingi italeta mushkeli

Hapo chacha....

Ova
 
Aswam ilijengwa na nani?
hadi leo ina miaka mingapi?
Jaribu kuficha ujinga wako basi.
Hao ndio watoto waliozaliwa baada ya Mwalimu Nyerere kuwa ameshafariki. Watoto wa selfie wa miaka hii ya sasa.

Hajui kwamba Misri kuna Pyramids ambazo zilijengwa na wamisri wenyewe miaka mingi kabla ya mzungu hajajua kuvaa boksa na viatu.
 

Umekosa la kuponda ukaona bora uongee tu hvyo
Nakushauri penda nchi yko na jarb kutumia akili kwenye kujua mazr na mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…