IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Aswam ilijengwa na warusi kwa mika 11, sisi tunataka kujenga karibu sawa na hilo kwa miezi 36 , chambua wewe mwenyewe
Kijana, kijana tafuta madogo wa kuwadanganya sio mimi.
Aswan dam imejengwa na Mainjinia 25000 ambao ni Wamisri chini ya uongozi wa Osman Ahmed mkuu wa kampuni ya Arab contractors,Wasovieti walitoa baadhi machines and few technicians.
Kuhusu kutumia muda mrefu ni kwasababu ya nature ya eneo walipojenga eneo hilo ambapo kuliitajika kujengwa kwa mifumo mikubwa ya uvutaji na uhifadhi maji hapa iliwalazimu kujenga Nasser artificial lake, pia uwepo wa clay ulichangia uchelewaji wa mradi huo.
Kumbuka kampuni iliyojenga Aswan dam(Arab contractors) ndiyo inajenga mradi wetu.
Kumbuka hadi leo Aswan dam ina miaka 48, kama waliweza miaka hiyo ya 1970 watashindwaje leo?
Halafu punguzeni ujuaji wa kipumbavu mainjinia wanasema watajenga kwa miezi 36 halafu wewe mtu umekaa kijiweni unapinga,Ndugu unafikiri wao wanasema hivyo bila kufanya uchunguzi?
 
Mimi niseme ukweli katika hili naunga mkono juhudi za huyu baba ninacho naomba ukweli na uwazi uwepo.

Tumepigwa sana kwenye umeme asee
 
Need I say more? Well-articulated mzee.
 
anasain yeye au katibu mkuu ujenzi,

Mabwawa ya kidatu,mtera yamekauka,mabadiliko ya tabia nchi,bado mtu anaamini umeme wa maji,umeme wa gesi unatumika asilimia kumi,unakopa tena kujenga mradi mwingine
Tumia akili kidogo, lini umeambiwa rufiji maji yamekauka??
 
Kama ni umaarufu kidini wa kuitiwa Ikulu basi angewaita hata na Shehe Ponda na Kakobe. Ameanza kuwabembeleza wanao mpinga? Au ni kwa vile ndani ya nyumba #Membe kapiga chafya yeye makamasi yana churuzika?
Membe angalia utaua watu kwa kihoro!
Ataulia kupitia wapi kamanda? Labda naye aingie dili na Mwenyekiti tumuuzie chama ikifika 2020.
 
anasain yeye au katibu mkuu ujenzi,

Mabwawa ya kidatu,mtera yamekauka,mabadiliko ya tabia nchi,bado mtu anaamini umeme wa maji,umeme wa gesi unatumika asilimia kumi,unakopa tena kujenga mradi mwingine
Kuna kitu ambacho ulisha wahi kumpongeza rais Jpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…