IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Inatokea Tanzania pekee

Nchi iliyobarikiwa viwonder kuliko zote africa
Wange ombea demokurasia na utawala wa sheria hayo yote yatakuja tu.....imagine mtu anahirisha sherehe za uhuru lakini anafanya hafra za kuweka saini miradi mbarimbari kila siku na anaalika viongozi wengi what is the logic behind?
 
Yani.. Kuna ngombe bado wamelala na ndo wanaturudisha nyuma
Wakiamka nguvu itaongezeka nchi itakombolewa
Wange ombea demokurasia na utawala wa sheria hayo yote yatakuja tu.....imagine mtu anahirisha sherehe za uhuru lakini anafanya hafra za kuweka saini miradi mbarimbari kila siku na anaalika viongozi wengi what is the logic behind?
 
gas mtwara tuliaminishwa hivyo hivyo.

mpaka nione ndo ntaamini serikali ya ccm siiamini kabisaa.
 
Kwenye miradi ya gesi tuliletewa maandishi mazuri kuliko hili lako
 
Naunga
Naunga mkono hoja' %mia
 

Attachments

  • 20181213_100310.png
    68.2 KB · Views: 29

"Wawezeshe watu wote wanaofanya kazi na Rais Magufuli wasimame na wewe Mungu, nafunga kila kazi zenye kukwamisha mradi wa Stiglers Gorge, wizi, rushwa, maneno ya kuvunja moyo, nayazuia na kila mmoja katika nafasi yake atiwe nguvu". -Sehemu ya Sala ya Askofu Gwajima, Ikulu
 
Chama langu arsenal tunakipiga lini vile?

Ova
 
Hahahahaaa kamaa kanaconfidemce sana hako.....sjui ni sababu ya mkwanja kalionao bank ama vp
 
Ngoja CHADEMA waamke
Ningependa sana CCM na Chadema kila moja iunde tumu ya mpira wa miguu. Ningependa sana kushuhudia nini kitakachotokea pale timu moja itakapofungwa na nyingine. Maana Siasa za nchi hii utasikia chadema chadema utadhani hakuna vyama vingine vya siasa.
 
Ujiandae kukatwa kwenye luku hadi hiyo hela ya watu irudi.
Usiniulize kwa nini.
Naomba kuishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…