IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Amini usiamini hii ndio itakuwa kiistoria itakavyo someka "raisi aliyekaa miaka mingi madarakani afrika mashariki" nahisi kama si miaka 25 bhasi 35
Liko wazi hilo thus anauwa vyama vingi na kutunga Sheria za kudhibiti watu ili atawale milele,kweli Mungu katuacha
 
Wewe umesubiria udaku tu wakati ulipaswa umsikie anachosema. Fuatilia hotuba yote urajazwa na roho ya upako ndugu.
Maneno aliyoyaongea Rais ni ya upako mtupu.
Aiseee umefikia stage hii? Naisikitikia sana familia yako hasa watoto wako yaani unauza utu na akili zako sababu ya njaa na kutafuta vyeo halafu Mwanaume,hatari sana.
 
mku kila mradi una muda wake na wanaoomba tender huwa wanataja na muda wa kukamilisha kutokana na ukubwa kazi tija yam radi inategemea marengo yake na sio muda pekee.
 
Kama ulimsikiliza vizuri muheshimiwa katika moja ya hotuba zake alisema gesi ni ya wenyewe walioivumbua kwa minajim kwamba wanafidia fedha zao juu ya mkataba walioingia sasa kwanini asidili na anachokiweza ?
Chama chenu cha CCM kilisema gesi ndio solution ya umeme TZ, imekuwaje tena mnabadilisha strategy juu kwa juu bila kuapologize kwa failure ya strategy ya gesi?
 
Swahiba kwani unaumia?
Ngoja nikupe nyingine basi homa ipungue
Mhaya umesahau , unapiga vigelegele wakati wahaya wenzio wanapigwa na kuta! To me that is shit for a common man's need!
 
Mhaya umesahau , unapiga vigelegele wakati wahaya wenzio wanapigwa na kuta! To me that is shit for a common man's need!
Siko hapa kutetea wahaya! Niko hapa kuhakikisha Tanzania yangu inasonga mbele! maumivu yakizidi kamuone Daktari mkuu
 
Kumbe huu mradi ulivumbuliwa kipindi cha Mwalimu ndo unatekelezwa saa hizi, makao makuu Dodoma nayo kipindi cha Mwalimu nayo yanatekelezwa awamu ya tano kweli kazi ipo! Usikute kuna mafile yametunzwa ikulu ya miradi iliyovumbuliwa enzi za Mwinyi, Mkapa, na Kikwete na bado haijafanyiwa kazi.
 
Hayo yote uliyoyasema tuliyasikia kwenye gesi, nothing new.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…