Only fools can waste time listerning .......Wewe umesubiria udaku tu wakati ulipaswa umsikie anachosema. Fuatilia hotuba yote urajazwa na roho ya upako ndugu.
Maneno aliyoyaongea Rais ni ya upako mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Only fools can waste time listerning .......Wewe umesubiria udaku tu wakati ulipaswa umsikie anachosema. Fuatilia hotuba yote urajazwa na roho ya upako ndugu.
Maneno aliyoyaongea Rais ni ya upako mtupu.
Unaanza matusi. ngoja nikuvutie kasi! nitarudi, jiandaeRudi huko FB huku hakukufai wewe ! You cant be a GT usijue hata Misri ni nchi yenye uwezo gani !
Liko wazi hilo thus anauwa vyama vingi na kutunga Sheria za kudhibiti watu ili atawale milele,kweli Mungu katuachaAmini usiamini hii ndio itakuwa kiistoria itakavyo someka "raisi aliyekaa miaka mingi madarakani afrika mashariki" nahisi kama si miaka 25 bhasi 35
Aiseee umefikia stage hii? Naisikitikia sana familia yako hasa watoto wako yaani unauza utu na akili zako sababu ya njaa na kutafuta vyeo halafu Mwanaume,hatari sana.Wewe umesubiria udaku tu wakati ulipaswa umsikie anachosema. Fuatilia hotuba yote urajazwa na roho ya upako ndugu.
Maneno aliyoyaongea Rais ni ya upako mtupu.
Miaka mitatu uchumi umekufa kila kitu kavuruga ndo hio 20 mtawezaAongoze hii nchi miaka 20 ili miradi yake yote amalize na tupae kiuchumi.
Kwani umekasirika....!!!😉😉😉😉😉😉Liko wazi hilo thus anauwa vyama vingi na kutunga Sheria za kudhibiti watu ili atawale milele,kweli Mungu katuacha
Sure?! What would clever people waste time listening to?Only fools can waste time listerning .......
Usione wapo kimya wanamsubiri Zitto awaletee matango poriChadema watahara na kutapika huko waliko
mku kila mradi una muda wake na wanaoomba tender huwa wanataja na muda wa kukamilisha kutokana na ukubwa kazi tija yam radi inategemea marengo yake na sio muda pekee.Ili mradi huu uwe na tija unapashwa kuchukua muda mfupi iwezekanavyo kujengwa hadi kukamilika.Tafuta data mradi wa kihansi,ulijengwa wakati nani ni rais, ulichukua muda gani na unaendelea vipi au una changamoto zipi hadi sasa, utaona kuwa hiyo hoja ya miaka 20 haina tija bali kuleta vurugu tu.
Clever people can not waste time, Listernng to people in the same category with Albert Einstein is not wastage of time!Sure?! What would clever people waste time listening to?
Chama chenu cha CCM kilisema gesi ndio solution ya umeme TZ, imekuwaje tena mnabadilisha strategy juu kwa juu bila kuapologize kwa failure ya strategy ya gesi?Kama ulimsikiliza vizuri muheshimiwa katika moja ya hotuba zake alisema gesi ni ya wenyewe walioivumbua kwa minajim kwamba wanafidia fedha zao juu ya mkataba walioingia sasa kwanini asidili na anachokiweza ?
Nhaya wa hovyo, umesahau dhihaka ya Tetemeko! Mhaya njaa tumbo, nshomile kifaiziUsione wapo kimya wanamsubiri Zitto awaletee matango pori
Swahiba kwani unaumia?Nhaya wa hovyo, umesahau dhihaka ya Tetemeko! Mhaya njaa tumbo, nshomile kifaizi
Swahiba kwani unaumia?
Ngoja nikupe nyingine basi homa ipungue
Siko hapa kutetea wahaya! Niko hapa kuhakikisha Tanzania yangu inasonga mbele! maumivu yakizidi kamuone Daktari mkuuMhaya umesahau , unapiga vigelegele wakati wahaya wenzio wanapigwa na kuta! To me that is shit for a common man's need!
Kwani Umekasirika..?Yan nchi hiii inamapicha picha kila kukicha had yanachosha
Hayo yote uliyoyasema tuliyasikia kwenye gesi, nothing new.Ngosha anaacha bonge la legacy. Sisi wa miaka hii kila jambo kwetu ni baya tu lakini kinakuja kizazi kitakachofaidika na mradi huu wa umeme.
Wapo watakaofaidika na wingi na ubora wa viwanda miaka ijayo. Wakati huo sisi wa sasa ambao baadhi yetu tulikuwa na akili timamu tangu enzi za Mwalimu, tutakapokuwa tukiitwa Marehemu fulani.
Magu sio muoga, ni jasiri mwenye kiburi cha kuzaliwa nacho. Wakati mwingine ni hulka inayomkwamisha na wakati mwingine ni hulka yenye neema kwa walio wengi.