IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Amini usiamini hii ndio itakuwa kiistoria itakavyo someka "raisi aliyekaa miaka mingi madarakani afrika mashariki" nahisi kama si miaka 25 bhasi 35
Liko wazi hilo thus anauwa vyama vingi na kutunga Sheria za kudhibiti watu ili atawale milele,kweli Mungu katuacha
 
Wewe umesubiria udaku tu wakati ulipaswa umsikie anachosema. Fuatilia hotuba yote urajazwa na roho ya upako ndugu.
Maneno aliyoyaongea Rais ni ya upako mtupu.
Aiseee umefikia stage hii? Naisikitikia sana familia yako hasa watoto wako yaani unauza utu na akili zako sababu ya njaa na kutafuta vyeo halafu Mwanaume,hatari sana.
 
Ili mradi huu uwe na tija unapashwa kuchukua muda mfupi iwezekanavyo kujengwa hadi kukamilika.Tafuta data mradi wa kihansi,ulijengwa wakati nani ni rais, ulichukua muda gani na unaendelea vipi au una changamoto zipi hadi sasa, utaona kuwa hiyo hoja ya miaka 20 haina tija bali kuleta vurugu tu.
mku kila mradi una muda wake na wanaoomba tender huwa wanataja na muda wa kukamilisha kutokana na ukubwa kazi tija yam radi inategemea marengo yake na sio muda pekee.
 
Kama ulimsikiliza vizuri muheshimiwa katika moja ya hotuba zake alisema gesi ni ya wenyewe walioivumbua kwa minajim kwamba wanafidia fedha zao juu ya mkataba walioingia sasa kwanini asidili na anachokiweza ?
Chama chenu cha CCM kilisema gesi ndio solution ya umeme TZ, imekuwaje tena mnabadilisha strategy juu kwa juu bila kuapologize kwa failure ya strategy ya gesi?
 
Swahiba kwani unaumia?
Ngoja nikupe nyingine basi homa ipungue

Mhaya umesahau , unapiga vigelegele wakati wahaya wenzio wanapigwa na kuta! To me that is shit for a common man's need!
 
Mhaya umesahau , unapiga vigelegele wakati wahaya wenzio wanapigwa na kuta! To me that is shit for a common man's need!
Siko hapa kutetea wahaya! Niko hapa kuhakikisha Tanzania yangu inasonga mbele! maumivu yakizidi kamuone Daktari mkuu
 
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo leo Jumatano Desemba 12, 2018 wameungana na Rais John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam

Soma zaidi hapa: Lusekelo, Gwajima, Mwingira waungana na Magufuli Ikulu
gwajma.jpg
 
Kumbe huu mradi ulivumbuliwa kipindi cha Mwalimu ndo unatekelezwa saa hizi, makao makuu Dodoma nayo kipindi cha Mwalimu nayo yanatekelezwa awamu ya tano kweli kazi ipo! Usikute kuna mafile yametunzwa ikulu ya miradi iliyovumbuliwa enzi za Mwinyi, Mkapa, na Kikwete na bado haijafanyiwa kazi.
 
Ngosha anaacha bonge la legacy. Sisi wa miaka hii kila jambo kwetu ni baya tu lakini kinakuja kizazi kitakachofaidika na mradi huu wa umeme.

Wapo watakaofaidika na wingi na ubora wa viwanda miaka ijayo. Wakati huo sisi wa sasa ambao baadhi yetu tulikuwa na akili timamu tangu enzi za Mwalimu, tutakapokuwa tukiitwa Marehemu fulani.

Magu sio muoga, ni jasiri mwenye kiburi cha kuzaliwa nacho. Wakati mwingine ni hulka inayomkwamisha na wakati mwingine ni hulka yenye neema kwa walio wengi.
Hayo yote uliyoyasema tuliyasikia kwenye gesi, nothing new.
 
Back
Top Bottom