Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Kwani Nyerere, mwinyi kutajwa nchi imeingiza billion ngapi mbona mmejaa chuki na figisu dhidi ya MagufuliHivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Ukienda vijijini ukasema wewe ni mswahili Kutoka pwani, utaonekana mvivu, Mwizi, mjanja mjanja.Tatizo lenyewe mafisadi ni vilaza they don’t that, ni mijitu mihuni inayoishi kwenye dunia.
Ndio kama topic ya hii mada; unaweza kweli kuongelea Ikulu ya Chamwino bila ya kumtaja aliejenga wananchi wasiulize.
Wana tabia ya kujiongopea na kuishi kwenye uongo wao.
Kwani sio kweli.Na hata mju wa serikali magufuli City watasema amejenga saa100
Maandalixi hayo yalipangwa kumdiss Magufuli,air time kapewa Jakaya na Nyerere, kiukweli Magufuli anazamiahwa kwa kila namnaZuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Twalichukia sana lile shetani lenu la Chato kwa jinsi likivyotutesaKwani Nyerere, mwinyi kutajwa nchi imeingiza billion ngapi mbona mmejaa chuki na figisu dhidi ya Magufuli
Huyu ni wa kuupzwa tu,ni suala la mudaZuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Sasa Magufuli marehemu angehojiwa vp? Utumie akili wakati mwingine!Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Hapana anafwata maagizo ya walio mteua.huyo dada naye anazingua,...
Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Nimempuuza kuliko upuuzi wenyewe, Ikulu kajenga Magufuli, full stop
Nimekupa 👎sababu umeandika bila ushibitisho wa sauti wa kile ulichokiandika.Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Kinachopingwa ni upotoshaji, history inaandikwaHivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Kwa hiyo siku hizi miradi ni majengo ya serikali tu?Kikwete aliacha jengo gani la serikali kuu Dodoma unalolijua wewe, zaidi ya mradi wake wa kitapeli akishirikiana na Rostam kuwajengea CCM jengo la mkutano at overprice.
Muwe na shukran watanzania hizo ndio laana zenyewe kutoka kwa mungu; halafu mnashangaa umaskini aushi na wala ampati viongozi wenye busara bali majizi tu kila siku.
Yeye Magufuri mbona alikuwa ana potosha kwa kusema eti watangulizi wake hawakufanya chochote vyote vilivyoko ndani ya nchi hii yeye ndo aliye vifanya?Kinachopingwa ni upotoshaji, history inaandikwa