Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hati yenyewe imepigwa solotape.......Mashaka matupu
Lisu alishaipata hiyo hati ataifafanua kisheria hiyo hati halafu aandae bomu lingine
Eti CCM wamegushi saini za Hayati Mwl J. K. Nyerere na Abeid Aman Karume, wameongeza me kwa Karume (kitu ambacho si kawaida ktk saini ya mtu alfabeti kuachana) kwa kutumia komputa (Scan > edit>print). Hata hapo naona kuna hiyo dalili. Je ni kweli au?
Mtawadanganya haohao mambumbu wenu,hapa mpaka kieleweke ikiwa ikulu hadi biashara za sembe zinafanywa sembuse magumashi ya hati..Kwa nini bavicha mnamatatizo makubwa kiasi hiki kila kinachofanyika kwenu ni hapana basi nadhani kazi ya kuuza bangi inawafaa.
Mkuu nakubaliana na wewe katika hati hii Saini ya Nyerere imeonekana kwa rangi yake lakini hii ya Karume inaringana Rangi na maandishi mengine kwa hiyo panahitaji ufahamu wa hali ya juu kuyaona haya ebu angalia picha hizi hapa chini.SIamini na wala sikubali kuwa tuna hati 2 ZA muungano. Ile yenye saini feki iliyopelekwa mwanzo na hii ya Sefue aliyowaonyesha wachaguliwa wa waaandishi habari mchana huu. Naomba majibu haya kwa nini walipeleka hati tofauti bungeni? Je Zanzibar wameapprove kuwa hiyo Ndio kweli halisi? Naona sasa suala la muungano lirudi kwa wananchi.
Haya hoja ya kuto kuwepo kwa hati imepata jibu sasa ngoja tusubili kama ni yenyewe isije ikawa imechakachuliwa maana hawa jamaa wa serikali kwa uchakachuaji wako vizuri.
Juu kabisa kama si macho yangu nasoma yafuatayo;
FAX NO. 2117272
Date April 14 2013
Time 09:55am
Je hii ndiyo maandiko ya 1964?
Hiyo hati ilitumwa kwa njia ya FAX tarehe hiyo toka point A kwenda point B; wewe ulitaka FAX ionyeshe mwaka 1964?
Issue ya msingi hapa ni kwamba, je hati hii ni halali au ni feki.
Hahahaaaaa imekula kwao...Mkuu umekumbusha maneno ya Lisu kwamba,kama hati ipo ni halisi?huyu jamaa anayo hii fake anawasubiri wajae aje kulipua