Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Kuliko udhalilishaji kwa umaskini na maisha yako bora unyanyaswe kwa mambo mengine, Mzee leo kawaambia Singida kuwa atawapa kazi ndogondogo maana hawana nguvu ya kuwa na mgombea wakuingia Ikulu.
Kwanini tumepaniki kiasi hiki? Hatukujipanga kufanya kampeni? Eleza sera zako acha wananchi wachague siyo ueleze Mambo binafsi.
Alimsaidia babu yako. Koma kuniquote.Ulimsaidia wewe kujaza
Aende huko alikokua wakampe urais, Tanzania inahitaji rais mzalendoHata urais wa TLS ulimshinda itakuwa huu
Mkuu hili Ni Jukwaa la Hoja na siyo Hasira, Ni vizuri ukamjibu kwa hoja, Relax and Speak Out.Alimsaidia babu yako. Koma kuniquote.
Manyimbo ya uchumi wa kati hayatavutii sisi wa vijijini, kwanza hatuyaelewi wala hatujaona tofauti yoyote popote.Mr President nadhan sasa uwe wakati wa kutuambia unakwenda kutufanyia nini miaka hii mitano? Maana kama ni maneno ya kwenye send-off tushayasikia imetosha sasa.Watumishi wanalia madaraja hayasomeki,incriment yenyewe hakuna,mazingira ya walimu na wanafunzi pia mabovu,wakulima pembejeo gharama zipo juu,miundombinu vijijini Ni mibovu wanavijiji wanasafiri kwa shida hasa kipindi Cha mvua tunatumia mapenzi yao na kutoelewa kwao juu ya serikali mbadala kuendelea kuwageuza mitaji yetu na makarai ambayo hutupwa ghorofa linapokamilika.
Ukiwasikiliza wote wawili utajua mlainishi ni nani: mzee wa kutembelea public sympathy.Anajaribu kulainisha? Ameelemewa na hoja nyingi za Lissu? Au anajaribu kudhalilisha?
Matusi ya Lissu umeyasikia wapi?Hahahah kati ya Lissu na JPm nani aliyepaniki?
Hadi leo Lissu hana hata anayoenda kufanya yeye ni kutukana na kulalamika tu kwa Magufuli hahhahaha bora asubiri hiko kikazi kidogo kuliko kujisumbua na kumaliza mafuta ya gari bure tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
"Jamani, ndugu zangu; ninawasihi mshikeni huyu. Aache kunishambulia. Nitamuua"....Kelele za muoga.Jamaa eti hizi ndio sera zake kwa Sasa duh...View attachment 1555298
Mfuga tausi wa Chamwino hatopata usingizi kwa woga wa kulipiziwa kisasi cha marisasi 30.Lisu atapewa kazi ya ulinzi pale Ikulu
SASA BASIWe endelea kutoa takwimu za kubumba, ila mjue wapiga kura wana hasira kuu! Na mwaka huu wapinzani walishaonya ule mchezo wa nyuma ya pazia! Hakutakuwa na cha kumwachia Mungu tena! Anaeshinda ashinde kihalali na anaeshindwa kweli ashindwe kihalali na maamuzi ya wapiga kura yaheshimiwe!
Hivi kamanda Tindo unategemea Tundu kuchaguliwa na Watanzania awe Rais?hata yeye mwenyewe anajua anazuga
Huyu jamaa kajisahau kabisa. Anafikiri kodi tunazolipa kugharamia maendeleo yetu anazimilki yeye na ni za kwake.Majengo zahanati,vituo vya afya, maji.. Eti Sikuwahi kuombwa maji.... Mtaturu miezi michache kaniomba maji... wengine walikuwa hawaombi ( Lissu).. Hivi miradi afya,maji ,barabara ni hisani ya mtawala!?
Kwahiyo kujibizana ndo kumeanza rasmiTusubirie jibu kutoka kwa lissu