Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Kwahiyo anataka apite bila kupingwa kama alivyokua anapita kwenye ubunge,
 
Na hizo sio Rushwa ?; Why Now si angempa tangia kitambo ?
 
Alisemaga anataman aache uraisi ni kazi ngumu
 
Kuliko udhalilishaji kwa umaskini na maisha yako bora unyanyaswe kwa mambo mengine, Mzee leo kawaambia Singida kuwa atawapa kazi ndogondogo maana hawana nguvu ya kuwa na mgombea wakuingia Ikulu.

Kwanini tumepaniki kiasi hiki? Hatukujipanga kufanya kampeni? Eleza sera zako acha wananchi wachague siyo ueleze Mambo binafsi.
Mkuu huwezi taka zaidi sehemu isiyo na zaidi, hicho unachokiona na kukisikia ndicho cha kwake na ndiyo uhalisia wake hayo unayotaka yatatoka wapi! Staajabu kidogo hapa:
Kutoka Kilimo kwanza mpka Viwanda kwanza! Kutoka viwanda kwanza mpaka ndege kwanza🙄
 
Mk
Kuliko udhalilishaji kwa umaskini na maisha yako bora unyanyaswe kwa mambo mengine, Mzee leo kawaambia Singida kuwa atawapa kazi ndogondogo maana hawana nguvu ya kuwa na mgombea wakuingia Ikulu.

Kwanini tumepaniki kiasi hiki? Hatukujipanga kufanya kampeni? Eleza sera zako acha wananchi wachague siyo ueleze Mambo binafsi.
Mbona mnatikisa mikia na kunyanyua masikio

Kwani ni uongo?
Kazi anayoweza tundu lisu ni kutetea watu mahakamani, anaweza kupewa hata ujaji akatoa haki kwa moyo mmoja maana ndo kazi aliyowez.
Lakininkutikisa mikia ni kuonyesha uoga na kutokujiamini.
Singida kuna majemne kwenye uongozi lakini sio TL.
 
Imekuuma jua ndio ukweli lisu hawezi kuwa rais over
Labda rais wa taasisi na vyama vya kijamii vitakavyomuona anawafaa lakini sio rais wa nchi ya Tanzania
 
“Maendeleo Hayachagui sura tuchague maendeleao, Najua mmoja ya wagombea Anatoka hapa, mshaurini tu kwamba mimi mnipe kura ntamtafutia kikazi kidogo kidogo huku Serikalini, Ni mtoto wetu tunampenda wala hatuna tatizo na mimi sina tatizo na mtu yeyote, kwani kazi lazima uwe Rais? Mwachie Rais Magufuli wewe tutakupa kikazi utakachoweza kufanyafanya “

“Akija mwambieni Magufuli amesema atakupa kazi, kwanini uhangaikie hii kazi ambayo unajua hutashinda?

Source: Bongo5 media group
 
Anachomaanisha ni kuwa uchsguzi halali haupo au hautakuwepo kabisa.

Psychopath huamini kuwa wao ni "mungu" hawashindanishwi hivyo huishia kuwashangaa wanaojaribu kushindana na mungu
Sio utani ana maanisha
 
Hivi kamanda Tindo unategemea Tundu kuchaguliwa na Watanzania awe Rais?hata yeye mwenyewe anajua anazuga
Jiwe huwa anapanic ile mbaya, awape kazi wanaccm maana ndio huwa wanamtemekea. Na kina Mbatia, Lipumba ndio wenye shida na kazi za jiwe.
 
Back
Top Bottom