Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Tangu nizaliwe sijawahi kumpigia kura mgombea wa urais kupitia CCM na sina ndoto hiyo
 
Lissu akisikia habari hizi atapayuka kama kawaida yake.

..anayepayuka ni Jpm.

..hayo maneno hayafai kuyasema kijijini alikozaliwa TL.

..yaani Jpm aliyemnyima matibabu TL leo anaahidi kumpa kazi?

..kwanini hakuzungumzia uchunguzi na kuwabaini waliojaribu kumuua TL?
 
Majengo zahanati,vituo vya afya, maji.. Eti Sikuwahi kuombwa maji.... Mtaturu miezi michache kaniomba maji... wengine walikuwa hawaombi ( Lissu).. Hivi miradi afya,maji ,barabara ni hisani ya mtawala!?
Anajua anatawala watu wajinga ndio maana anaongea ujinga bila aibu.
 
HABARI NJEMA:

JPM AAHIDI KUMPATIA KIKAZI KIDOGOKIDOGO ATAKACHOWEZA KUKIFANYA SERIKALINI

#Ikungisingida
FB_IMG_15988356993983842.jpg
 
mbona kama hataki mwenzie agombee ? yani anataka mgombea awe yeye tu
 
Baadhi ya Watanzania mnashangaza sana. Eti unathubu kuandika kwamba Lissu hamshindi yesu fake popote pale! Huku ukijza fika kwamba uchaguzi si huru wa wala wa haki! Unadhani hao tumeccm watakuwa tayari kumtangaza Lissu mshindi huku wakijua fika kwamba ajira zao zitaota mbawa.

Watanzania kama wewe ndiyo tatizo kubwa la kuendelea kuwepo Serikali haramu madarakani na kusababisha Nchi ikose Maendeleo ya kweli.
Sasa kama unajua ni tumeccm mmekomaa na kampeni za nini?
.
Miaka yote mitano mlikomaa na kingereza cha Magufuli na viishu vingine vya kipumbavu, tukiwaambia mnatuita Lumumba.
.
Serikali ilipotangaza kuboresha daftari la mpiga kura mkajifanya wajuaji eti hamuwezi kuitikia wito wa tumeccm.
Haya huyo Lisu wenu mnategemea atapigiwa kura na mawe?

Na bado subirini oktoba tuwanyoe
 
Baadhi ya Watanzania mnashangaza sana. Eti unathubu kuandika kwamba Lissu hamshindi yesu fake popote pale! Huku ukijza fika kwamba uchaguzi si huru wa wala wa haki! Unadhani hao tumeccm watakuwa tayari kumtangaza Lissu mshindi huku wakijua fika kwamba ajira zao zitaota mbawa.

Watanzania kama wewe ndiyo tatizo kubwa la kuendelea kuwepo Serikali haramu madarakani na kusababisha Nchi ikose Maendeleo ya kweli.
Siasa ni imani kwa kile mtu anachojua ni sahihi. Kama wewe unavyoamini kwa Tundu ndivyo Mimi ninavyoamini kwa Magu. Kati yetu mmoja anaweza kubadilika na kufanana na mwenzie kiimani kama ataona manufaa kwenye kile anachoamini.
Tuendelee kuelimishana siasa sio vita
 
Mkapa alikuwa haamini kwa Magu hadi atake Tume huru? Unadhani ni kwanini hakuwa na imani na hiyo tumeccm?

Eti siasa siyo vita wakati watu wanatekwa wanateswa kubambikiwa kesi na hata KUUWAWA! Akili za wapi hizi? 😳😳😳

1598959549929.jpeg

Siasa ni imani kwa kile mtu anachojua ni sahihi. Kama wewe unavyoamini kwa Tundu ndivyo Mimi ninavyoamini kwa Magu. Kati yetu mmoja anaweza kubadilika na kufanana na mwenzie kiimani kama ataona manufaa kwenye kile anachoamini.
Tuendelee kuelimishana siasa sio vita
 
Ila JPM bwana kuna wakati anajitoa akili kabisa anabaki {}
 
Haiwezi kuwa kweli aliyokuwa nayo aliporwa katika Hali inayokosa ubinadamu kwa msaada wa ambao tulitegemea ni wasimamizi was watoa haki,Tena zikitolewa kejeli nyingi zilizo kids utu.
 
Back
Top Bottom