Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Walishindwa matibabu wakitaka afe wataweza kumpa kazi??
 
Magafuli tuliingia cha kike kumpa urais,ilipaswa awe Nyampara wa barabara na madaraja😁😁😁!
Poleni mtaa huo sana ....sisi huku kwetu Magufuli ni bonge la jemadari😁😁😁
 
CCM wameshapanik, sasa wanazungumzia nani atashinda na hatashinda kwani wao wamekuwa Tume ya uchaguzi??? Na hiyo ndio tunaita hofu kuu! Leteni sera na hoja na sio kukimbilia kutangaza matokeo! Moto wa Lissu kwa mwaka huu sio mchezo watu wameshapoteana!
Humu JF kila siku CHADEMA mnasema Lissu atashinda atakuwa rais October. Kwani mmekuwa tume ya uchaguzi siku hizi?
 
Majengo zahanati,vituo vya afya, maji.. Eti Sikuwahi kuombwa maji.... Mtaturu miezi michache kaniomba maji... wengine walikuwa hawaombi ( Lissu).. Hivi miradi afya,maji ,barabara ni hisani ya mtawala!?
Magufuli hajielewi na anajua wapumbavu ni wengi hivyo anazidi kuwapumbaza!
 
Poleni mtaa huo sana ....sisi huku kwetu Magufuli ni bonge la jemadari😁😁😁
Hata wewe kimoyomoyo unajua jiwe hana jipya!Anajua kujenga nchi ni kujenga madaraja na barabara😁😁😁!
 
Naona mzee kashaamza kupanic mapema sana. Kama mjanja ajibu hoja za lissu. After all mwaka huu hana hoja huyu

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Hata wewe kimoyomoyo unajua jiwe hana jipya!Anajua kujenga nchi ni kujenga madaraja na barabara[emoji16][emoji16][emoji16]!
Kumbe kujenga nchi ni kwenda kulewa alafu ukinguka na kuteguka unasingizia wasiojulikana?
 
Walifungia mikutano wakajipa moyo CDM imekufa ile wameruhusu wazalendo wa kweli wako palepale wameanzia pale walipoishia 2015 baada ya Dictator kuamua asikike yeye tu.
Hali imekuwa tofauti na matarajio
 
Haya matusi ndio yatasaidia Lisu kushinda?..

Mlivyokuwa mnahamasishana humu kwamba msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura mlifikiri huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?
Akili za nyumbu hovyo kabisa, Sasa hawana wapiga kura wanategemea Lissu awe rais? Labda akagombee Tena urais tls.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kujenga nchi ni kwenda kulewa alafu ukinguka na kuteguka unasingizia wasiojulikana?
Hayo umesema wewe!Mimi hapa nazungumzia huyu Nyampara wa barabara tuliyempa urais!Ni kosa kubwa sana nchi hii ilifanya!
 
Back
Top Bottom