Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Haaha Mh. Rais kaanza vijembe lissu akimjibu aangalie hasira zake asije kuzimalizia kwa familia yake [emoji23][emoji23]
 
Itapendeza kama atamkumbuka Lissu ampe hata kazi ndogo ndogo. Sio Kila mtu anaweza kuwa Rais
 
Haya matusi ndio yatasaidia Lissu kushinda?

Mlivyokuwa mnahamasishana humu kwamba msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura mlifikiri huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?
 
😂😂

Afadhari ili aweze kujiuguza vizuri
 
Mbona kama umepanick? Au ni mihemko tu.
Wewe katafute takwimu ndio unazofikiri ni sahihi ndio uje upinge takwim zangu
Halafu uwe na heshma maana mama yako, mkeo, dada zako pia wanabadlisha hiyo kitu kila siku
Hajitambui huyo achana nae
 
Mzee wa tutashitakiwa MIGA ni bure kabisa kila hotuba yake lazima aombe wazungu wamsaidie!!!
Ndio ilani ya chama chake inavosema sasa unataka afanyeje mkuu, wale wapiga deki lami si wanamshangilia ... yeye kwake inatosha.
 
Tundu hamshindi Magufuli popote, asubiri uteuzi kwa nafasi atakayoiweza sio urais🤣🤣🤣
Maendeleo hayana vyama
Baada ya kuambiwa hana jipya sasa ameanza kuja na mapya!Kweli ameshikwa pabaya,anataka amuhonge Lissu uanasheria mkuu wa serikali 😁😁😁!Inaonekana watu hawajaelewa flyover na madaraja!
 
Haya matusi ndio yatasaidia Lisu kushinda?..

Mlivyokuwa mnahamasishana humu kwamba msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura mlifikiri huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?
Sijui walikua wapi wakati wajumbe wakipita nyumba kwa nyumba kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi...... na sasa wanapita kutukumbusha umuhimu wa kuwa ulikojiandikishia tarehe ya uchaguzi
 
Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii anayopambania hatoiweza...
Kitu kimoja cha ajabu ambacho Magufuli hawezi kufanya ni kumtaja Lissu kwa Jina lake....nadhani dhambi Ile inamtesa sana Mh.Rais
 
Sijui walikua wapi wakati wajumbe wakipita nyumba kwa nyumba kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi...... na sasa wanapita kutukumbusha umuhimu wa kuwa ulikojiandikishia tarehe ya uchaguzi
Ni wajinga mkuu!

Yani kuna wakati najisikia aibu kweli kumuona mwanaume mwenzangu humu alikuwa anakejeli uboreshaji wa daftari la mpiga kura kwa kusema hawezi kwenda kupoteza muda, au hana muda mchafu alafu leo anazungusha ball zake eti Lisu atashinda?

Hawa jamaa ni majuha sana.
 
Baada ya kuambiwa hana jipya sasa ameanza kuja na mapya!Kweli ameshikwa pabaya,anataka amuhonge Lissu uanasheria mkuu wa serikali 😁😁😁!Inaonekana watu hawajaelewa flyover na madaraja!
Asubutuuuu akipewa uanasheria Yule si atauza nchi ubeligiji😂😂😂😂😂
Labda apewe nafasi ya uenyekiti wa CCM wilayani kwake🥁🥁🥁
 
Asubutuuuu akipewa uanasheria Yule si atauza nchi ubeligiji😂😂😂😂😂
Labda apewe nafasi ya uenyekiti wa CCM wilayani kwake🥁🥁🥁
Magafuli tuliingia cha kike kumpa urais,ilipaswa awe Nyampara wa barabara na madaraja😁😁😁!
 
Ni wajinga mkuu!

Yani kuna wakati najisikia aibu kweli kumuona mwanaume mwenzangu humu alikuwa anakejeli uboreshaji wa daftari la mpiga kura kwa kusema hawezi kwenda kupoteza muda, au hana muda mchafu alafu leo anazungusha ball zake eti Lisu atashinda?

Hawa jamaa ni majuha sana.
Wengi wa wanaomchukia Magufuli wamekatiwa mirija ya unyonyaji, rushwa, ubadhirifu wa maadili na mali ya umma. Hakuna janjajanja awamu hii
 
Back
Top Bottom