Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Waliohitimu vyuo vikuu tangu 2015 wanazurura mitaani hawana ajira. Unatafuta ajira ya TL?
 
Mzee wa tutashitakiwa MIGA ni bure kabisa kila hotuba yake lazima aombe wazungu wamsaidie!!!
Huyu kabarikiwa akili za kubwabwaja tu bt watanzania wanaojielewa washamjua maana angekua mzalendo asingesaliti kwenye sakata la madini.
 
Siku ile alisema dawa ya msaliti ni kuuliwa imekuwaje leo msaliti atapewa kazi?!
 
Baada ya kuambiwa hana jipya sasa ameanza kuja na mapya!Kweli ameshikwa pabaya,anataka amuhonge Lissu uanasheria mkuu wa serikali [emoji16][emoji16][emoji16]!Inaonekana watu hawajaelewa flyover na madaraja!
Lini Magufuli kasema atampa Lissu uanasheria mkuu? Mbona nyumbu mnapotosha?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Haya matusi ndio yatasaidia Lisu kushinda?..

Mlivyokuwa mnahamasishana humu kwamba msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura mlifikiri huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?
Mkuu mwambieni magufuli anadi sera.
 
Tundu Lisu anafaa kuwa AG au DPP lakini siyo Rais wa Tanzania!
Kwa mujibu wa Meko hizo ndio kazi ndogo ndogo? Ndio maana anateua AG na DPP wa hovyo sana kumbe haelewi hata hizo nafasi na umuhimu wake.
 
Lissu akisikia habari hizi atapayuka kama kawaida yake.
 
Ni wajinga mkuu!

Yani kuna wakati najisikia aibu kweli kumuona mwanaume mwenzangu humu alikuwa anakejeli uboreshaji wa daftari la mpiga kura kwa kusema hawezi kwenda kupoteza muda, au hana muda mchafu alafu leo anazungusha ball zake eti Lisu atashinda?

Hawa jamaa ni majuha sana.
Ndo ujue akili za nyumbu hovyo kabisa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Humu jf kila siku chadema mnasema Lissu atashinda atakuwa rais October. Kwani mmekuwa tume ya uchaguzi siku hizi?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ushindi wa Lissu viashiria vyake mbona viko wazi! Kura zake zipo kwenye makundi yafuatayo:-
30%=Wanafunzi na wahitimu wa vyuo aliowanyima ajira kwa miaka yote 5
20%=Wakulima na wavuvi
15%=Wafanya biashara na waliosingiziwa kesi za uhujumu uchumi
15%=Wanachama na wafuasi wa CHADEMA
10%=Watumishi wa umma sector rasmi na sector binafsi wakiwemo wastaafu
10%=Watanzania wengine wakiwemo wanachama wa CCM wasiokubaliana mwenendo wa uongozi wa sasa
 
Mkuu mwambieni magufuli anadi sera.
Mkuu sera zinanadiwa sema nyie mnapenda kusikia tu hivyo vibwagizo badala ya sera.
. Na hili ni tatizo la chadema nzima, kwa miaka mitano yote mlikomaa na kingereza cha Magufuli badala ya mambo ya maana.
 
Watu walitaka kumuombea duwa Lisu serikali yako mulikstaa kwa tena kwa bunduki
 
Yaani analiogopa Jina la Tundu Lisu kama risasi zao za moto walizomtandika nazo Tundu Lissu, kweli Magufuli ni muoga sana wa upinzani na kupingwa at large.
 
Baadhi ya Watanzania mnashangaza sana. Eti unathubu kuandika kwamba Lissu hamshindi popote pale! Huku ukijua fika kwamba uchaguzi si huru wa wala wa haki! Unadhani hao tumeccm watakuwa tayari kumtangaza Lissu mshindi huku wakijua fika kwamba ajira zao zitaota mbawa.

Watanzania kama wewe ndiyo tatizo kubwa la kuendelea kuwepo Serikali haramu madarakani na kusababisha Nchi ikose Maendeleo ya kweli.

Tundu hamshindi Magufuli popote, asubiri uteuzi kwa nafasi atakayoiweza sio urais[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maendeleo hayana vyama
 
Kuliko udhalilishaji kwa umaskini na maisha yako bora unyanyaswe kwa mambo mengine, Mzee leo kawaambia Singida kuwa atawapa kazi ndogondogo maana hawana nguvu ya kuwa na mgombea wakuingia Ikulu.

Kwanini tumepaniki kiasi hiki? Hatukujipanga kufanya kampeni? Eleza sera zako acha wananchi wachague siyo ueleze Mambo binafsi.
Magufuli ni rais wa wanyonge
Wanyonge = watu maskini na wasiojitambua
 
Back
Top Bottom