Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge kazi yake ni nini?Majengo zahanati,vituo vya afya, maji.. Eti Sikuwahi kuombwa maji.... Mtaturu miezi michache kaniomba maji... wengine walikuwa hawaombi ( Lissu).. Hivi miradi afya,maji ,barabara ni hisani ya mtawala!?
Majengo zahanati,vituo vya afya, maji.. Eti Sikuwahi kuombwa maji. Mtaturu miezi michache kaniomba maji... wengine walikuwa hawaombi ( Lissu).. Hivi miradi afya,maji ,barabara ni hisani ya mtawala!?
NEC wameshamaliza kazi waliyotumwa bado kumtangaza tu, haihitaji ufafanuzi kamaliza yote mwenyewe.
Alafu bado mnazunguka kupiga kampeni?NEC wameshamaliza kazi waliyotumwa bado kumtangaza tu, haihitaji ufafanuzi kamaliza yote mwenyewe.
Lisu atapewa kazi ya kubeba mafaili na rais Magufuli,Kwahiyo kashaanza kumuogopa lissu?
Lisu atamshtaki Magu kwa beberu wake amsterdamanamchokoza, subiri majibu!
Hahahhaha... Hiyo ni kuomba poo?Kazi kweli kweli!Jiwe anafikiria kuwa Mh.lISU ni sawa na akina Bashite au Jorkate au Kafulila?
Hao awavue hata chupi lakini sio Mh.LISSU.....mzee anaomba poo kwa MH.LISSU mapema naomna hii???ngoma nzito sana hii!
Na kwenye kuboresha daftari la wapiga kura chadema walihamasishana wasiende.Tuseme tuu ukweli...
1.Jumla ya wapiga kura 29M
2.Jumla ya wanachama CCM 15M+
3.Jumla ya wanachama chadema 2M
Hebu tafuta uwiano hapo ulete jibu nani mshindi, na bado huku mtaani wajumbe 97%+ wameshamaliza kazi yao kuimarisha chama. CCM wamejipanga na mwaka huu wamejipanga kwelikweli. Ushindi kama wote
Mzee wa tutashitakiwa MIGA ni bure kabisa kila hotuba yake lazima aombe wazungu wamsaidie!!!
Mtafanyaje sasa? Mbona kwenye wabunge 20 mmekubali?Kwa sababu hatukubaliani na huu upumbavu wenu
We endelea kutoa takwimu za kubumba, ila mjue wapiga kura wana hasira kuu! Na mwaka huu wapinzani walishaonya ule mchezo wa nyuma ya pazia! Hakutakuwa na cha kumwachia Mungu tena! Anaeshinda ashinde kihalali na anaeshindwa kweli ashindwe kihalali na maamuzi ya wapiga kura yaheshimiwe!Tuseme tuu ukweli...
1.Jumla ya wapiga kura 29M
2.Jumla ya wanachama CCM 15M+
3.Jumla ya wanachama chadema 2M
Hebu tafuta uwiano hapo ulete jibu nani mshindi, na bado huku mtaani wajumbe 97%+ wameshamaliza kazi yao kuimarisha chama. CCM wamejipanga na mwaka huu wamejipanga kwelikweli. Ushindi kama wote