Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

JamiiForums-613468799.jpg


Jr[emoji769]
 
Mwanasheria msomi ataweka pingamizi kuwa hii ni rushwa!
 
Jamaa eti hizi ndio sera zake kwa Sasa duh...View attachment 1555298
Mr President nadhan sasa uwe wakati wa kutuambia unakwenda kutufanyia nini miaka hii mitano? Maana kama ni maneno ya kwenye send-off tushayasikia imetosha sasa.Watumishi wanalia madaraja hayasomeki,incriment yenyewe hakuna,mazingira ya walimu na wanafunzi pia mabovu,wakulima pembejeo gharama zipo juu,miundombinu vijijini Ni mibovu wanavijiji wanasafiri kwa shida hasa kipindi Cha mvua tunatumia mapenzi yao na kutoelewa kwao juu ya serikali mbadala kuendelea kuwageuza mitaji yetu na makarai ambayo hutupwa ghorofa linapokamilika.
 
Back
Top Bottom