Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Majengo zahanati,vituo vya afya, maji.. Eti Sikuwahi kuombwa maji.... Mtaturu miezi michache kaniomba maji... wengine walikuwa hawaombi ( Lissu).. Hivi miradi afya,maji ,barabara ni hisani ya mtawala!?
Mbunge kazi yake ni nini?
 
Majengo zahanati,vituo vya afya, maji.. Eti Sikuwahi kuombwa maji. Mtaturu miezi michache kaniomba maji... wengine walikuwa hawaombi ( Lissu).. Hivi miradi afya,maji ,barabara ni hisani ya mtawala!?

Hapana si hisani bali ni jukumu takwa la kikatiba kwa kiongozi kuhakikisha waliomuajiri (wananchi) wanapata huduma bora za kijamii)

Ni upofu na ujinga wa wanaoshangilia pale anaposemaga "haya nitawapa hiki, nitawafanyia hiki" instead ya "serikali itawapatia hiki au itafanya hiki.
 
NEC wameshamaliza kazi waliyotumwa bado kumtangaza tu, haihitaji ufafanuzi kamaliza yote mwenyewe.

Tuseme tuu ukweli...
1.Jumla ya wapiga kura 29M
2.Jumla ya wanachama CCM 15M+
3.Jumla ya wanachama chadema 2M
Hebu tafuta uwiano hapo ulete jibu nani mshindi, na bado huku mtaani wajumbe 97%+ wameshamaliza kazi yao kuimarisha chama. CCM wamejipanga na mwaka huu wamejipanga kwelikweli. Ushindi kama wote
 
CCM wameshapanik, sasa wanazungumzia nani atashinda na hatashinda kwani wao wamekuwa Tume ya uchaguzi??? Na hiyo ndio tunaita hofu kuu! Leteni sera na hoja na sio kukimbilia kutangaza matokeo! Moto wa Lissu kwa mwaka huu sio mchezo watu wameshapoteana!
 
Ingependeza sana wagombea kufanyiana utani kama hivi na TV zikawa zinaonesha pasipo kubagua and then mwishowe tunapiga kura kwa uhuru na haki na baadaye anaye shinda anakabidhiwa madaraka na wanashikana mikono kwa kukumbatiana but now ni mizengwe tu ya kukatanakatana na kusema wengine wanatukana.
 
Kazi kweli kweli!Jiwe anafikiria kuwa Mh.lISU ni sawa na akina Bashite au Jorkate au Kafulila?
Hao awavue hata chupi lakini sio Mh.LISSU.....mzee anaomba poo kwa MH.LISSU mapema naomna hii???ngoma nzito sana hii!
Hahahhaha... Hiyo ni kuomba poo?
. Wenzenu tayari wana wabunge 20 saa hii huku nyie mna 0. Hivi hapo nani anatakiwa kuomba poo
 
Tuseme tuu ukweli...
1.Jumla ya wapiga kura 29M
2.Jumla ya wanachama CCM 15M+
3.Jumla ya wanachama chadema 2M
Hebu tafuta uwiano hapo ulete jibu nani mshindi, na bado huku mtaani wajumbe 97%+ wameshamaliza kazi yao kuimarisha chama. CCM wamejipanga na mwaka huu wamejipanga kwelikweli. Ushindi kama wote
Na kwenye kuboresha daftari la wapiga kura chadema walihamasishana wasiende.
 
Mzee wa tutashitakiwa MIGA ni bure kabisa kila hotuba yake lazima aombe wazungu wamsaidie!!!

Kumbe mtaa wote wa Lumumba mmchanganyikiwa, hamna wa kumsaidia mwingine.

Dalili zaonyesha kuwa Jiwe ndio kazidi au labda ndio ilani yenu inavyotaka, Rais mzima kaanza kukejeli.

Waambieni kina Balile na TBC, we are coming.
 
Tuseme tuu ukweli...
1.Jumla ya wapiga kura 29M
2.Jumla ya wanachama CCM 15M+
3.Jumla ya wanachama chadema 2M
Hebu tafuta uwiano hapo ulete jibu nani mshindi, na bado huku mtaani wajumbe 97%+ wameshamaliza kazi yao kuimarisha chama. CCM wamejipanga na mwaka huu wamejipanga kwelikweli. Ushindi kama wote
We endelea kutoa takwimu za kubumba, ila mjue wapiga kura wana hasira kuu! Na mwaka huu wapinzani walishaonya ule mchezo wa nyuma ya pazia! Hakutakuwa na cha kumwachia Mungu tena! Anaeshinda ashinde kihalali na anaeshindwa kweli ashindwe kihalali na maamuzi ya wapiga kura yaheshimiwe!
 
Hajakosea! Lissu hawezi kuwa Rais.Anaweza kushinda lakini hawezi kupewa Nchi na Wenye nchi.
 
Back
Top Bottom