Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Labdaa kama umetoa laki 2 ya mahari kwa kila mmoja

Mahari ya 3M huwezi kutoa kwa kila mwanamke Kijana wa hovyo wewe๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hiyo kawaida tu , mwenyewe nimelipa mahari kwa wazazi wa mabinti watatu tofauti na kila mmoja anajua baada ya mwaka ataolewa ,ila kiukwel sina mpango wa hata mmoja.
 
Labdaa kama umetoa laki 2 ya mahari kwa kila mmoja

Mahari ya 3M huwezi kutoa kwa kila mwanamke Kijana wa hovyo wewe๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kwamba umeona 3m ndio nyingi kwako ?
 
๐Ÿคฃ
Kwani mlishawahi kumuuliza huyo anaeishi nae kwa sasa akasema hajui ikiwa hajui kuwa mwanaume wake anataka kufunga ndoa na mwanamke mwingine?

Ikiwa bado muulizeni.....๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

Inawezekana anajua ninyi tu ndio mnaoteseka.๐Ÿคฃ

Hata muoalewaje anaweza kuwa anajua, muulize hivi, UNCLE ANAISHI NA DEMU NA WANAJIACHIA SANA, UNALIJUA HILO?

Halafu utatupatia mrejesho๐Ÿ˜Ž
 
Yaani sijui kwanini mnapenda kujiamini kupitiliza,.
Hatakama tamaa za mwili mtu unashindwa kuvumilia kwanza hata jambo tu lipite utaendelea na tabia zako mbele ya safari jamani,.

Me nachukia kweli aisee
Si umwambie huyo anko wako sasa. Sisi hatutaki mambo magumu. Yaan huyo dem ampe hifadhi anko siku zote amtelekeze kisa anaoa. Usikute wameshaelewana. Huyo muolewaji ataitwa wifi kama kawaida ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Inakuwaje wazee wa ukoo wanamuogopa kijana wao?. Kweli jamii zinatofautiana sana. Anyway ila mkimchukulia poa atawasumbua sana baadae na hii ishu yake maana ni kama mnashiriki hichi kikombe.

fikiria wewe ndio ungekuwa huyo dada then unakuja kushtukia mtu anaoa, si unaeza ukalaani ukoo mzima rafiki. Kupitia hayo maumivu ndio namna huyo uncle anaweza waponza wote.

Naelewa unaweza usiwe kwenye nafasi ya kumkanya huyo uncle ila nadhani unaweza kujiepushana hilo janga. Ni bora usishirik hii dhuluma maana hapo ni kumdhulumu mtu future yake. Mbaya sana hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ