Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Serious imagine unadate na mtu mwaka mzima halafu gafla tu unaskia anaoa kesho au keshokutwa lazima utataka ufanye jambo ,. Na hii inaweza kuwa mbaya jamani
Hawa ndugu zetu ndio maana wengi wao wanakufa mapema, wana harakati nyingi mno.
 
Hii hata kwetu ilitokea, tofauti huku hawakua wamefikia muda wa kufunga ndoa ila mwanamke alikua anajulikana kwetu na jamaa anajulikana kwao na mwanamke. Ila ghafla akaanza kuonekana na mwanamke mwingne akawa anatuambia wanafanya kazi wote ila hadi home anakuja na analala. Bi dada yule wa mwanzo akashtukia akawa anauliza fulani ni nani ila hakuna wa kumpa majibu kila mtu anaogopa.

Sasa hivi yule dada alievamia mapenzi ya watu ndio anaolewa. Na jamaa alikua akiulizwa una mpango na yupi kama wote umewapeleka home hatoi jibu la kueleweka. Kuna watu wapo tu kwa ajili ya kuvuruga watoto wa watu.
 
kwakweli ni mbaya mnoo,. sema mtu mwenyewe hajali wala nini maana kama kusemwa kashasemwa sana na hakuna anayemskiliza sio kaka wala dada zake
 
KHapo huwezi jua aliyeachwa bila kuolewa ana mpango gani na ndugu yenu mwe!😶,.

Wanapenda sana Vurugu aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…