Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Ngoja kwanza tuone itakavyokua,. Shida sio yeye kuchepuka shida ni anafanya hadharani na hajali huku si kuwavinjia heshima ndugu zake jamani
Hayo mambo ya mke mmoja yanaenda kinyume na jinsi miili yetu wanaume ilivyo , hivyo kijana kagoma kuwa mnafki.
 
Ila nyie kuna watu hawaogopi kitu,. Labda kama wawe wamekubaliana kama unavyosema
Kwa scenario ilivyo, naamini kuna maelewano kati yao, ila km sivyo bas anco wako ana dunia yake,

Maana km anategemea mdada ataondoka kivyake, je huyo mkewe hatapata taarifa kuwa mumewe alikua na mtu mwngne had ukweni alijulikana? Ataichukuliaje hiyo? Duuh
Mbna hatari afu sio salama kabisa.
 
Fanya jambo sahihi na la kijasiri kwa mwanamke mwenzio.

Usiende wewe moja kwa moja usije leta uhasama na 'last born', ila find a way to let her know.

Fanya kitu kulinda muda wake, na kumlinda na pending emotional pain or worse even depression.

Usipofanya jambo sahihi muda huu jua una nafasi ya lawama kwa maumivu atakayotapata 'shangazi' baadae.
 
Hahaha, umeniua hapo kwenye kulogwa ukoo mzima maana mmekua wanafiki...mtashangaa tu, ukoo mzima mambo magumu, alooo
 
Hayo mambo ya mke mmoja yanaenda kinyume na jinsi miili yetu wanaume ilivyo , hivyo kijana kagoma kuwa mnafki.
Ndio tunajua,. Lakini anashindwa kufanya hata kwa siri ??, vipi wakwe zake wakijua wanakua wanamuwazia nini binti yao? Anaolewa na mtu wa namna gani??
 
Naomba wawe wamekubaliana jamani,. Maana hiyo vita sidhani kama kuna silaha itafaa wakati wa kupigana ,.
Ila ngoja tuone kwanza itakavyokua
 
Ndio tunajua,. Lakini anashindwa kufanya hata kwa siri ??, vipi wakwe zake wakijua wanakua wanamuwazia nini binti yao? Anaolewa na mtu wa namna gani??
Dogo kwa sababu ni kidume , yeye anajua itakavyo kua , wanaume huwa tuna serikali zetu kichwani.
 
Hahaha, umeniua hapo kwenye kulogwa ukoo mzima maana mmekua wanafiki...mtashangaa tu, ukoo mzima mambo magumu, alooo
Serious,. Mtu anakuja kusalimia mara ambebee mkwe vitenge mara nini si anajua hapa wameshanikubali hatakama ndoa bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…