Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Maumivu ya moyo baada ya kuachwa yanazidi msiba...

Wanawake wakiwa wahanga wakuu

Visasi na malipizi ya kuua kwa nguvu za Giza ila hata wanaomlilia Mungu nao anawalipia kisasi...
Mathara ya kutanguliza pesa mbele , tunatafuta kwa mateso na kuhatarisha hata maisha ,hivyo kupitia uhanga kwa wanawake wameyataka wenyewe
 
Mkuu mimi naanzia wapi jamani,. Maana Uncle ni mtu mzima halafu mama yake tu mzazi hajamsikia ,. Mie si atakuja aniue kwa mkono mmoja mwee
 
Bora umshtue wewe mapema mtoto wa watu. Tumia njia za kimafia kumfikishia ujumbe mapema
Naanzaje jamani mimi,. Maana Uncle kama kashindwa kuwasikiliza dada zake , kaka zake na mama yake mzazi wanamwambia kila siku haelewi mie nitaanzia wapii?
 
Ataroga ukoo mzima nawaambia, hadi mimba zitakua zinaharibika tyuuh.

Mjiandae kwa mazishi ya kila baada ya mwezi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shindwaa shetaniπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜‚,.
Ila naandika huku naogopa, hili jamaa jau sana aisee
 
Huyo dada si uongee NAE kama mwanamke mwenzio tu maana mwisho akija kujua yeye atakuona na wewe wale wale, anko yako kutuwakilisha in negative way
Wee ni binti mkubwa anaweza akawa amenizidi hata miaka6 naanzaje kuzumgumza nae,. Na sijawahi kumzoea hata namba yake sina namuonaga tu kwenye matukio kama hivyo basi
 
Mfumo wa mke mmoja ni utamaduni wa kizungu ambao umekuja na dini kwenye majahazi tu ,hakuna mwanaume alie kamilika akawa na mke mmoja asitamani kuwa na wanawake wengine.
Yupo/wapo. Hii nadharia ya ku generalize ni kujilisha upepo na kuhadaa umma. Lol
 
Msanue mwanamke mwenzio, sio anko.
Wee ni binti mkubwa anaweza akawa amenizidi hata miaka6 naanzaje kuzumgumza nae,. Na sijawahi kumzoea hata namba yake sina namuonaga tu kwenye matukio kama hivyo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…