ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai.
Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
 
Azam hawakwenda Misri lakini waliua mtu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai.
Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
Kwani ni uongo kuhusu hilo basi la timu kushikiliwa na mdhamini, kiasi cha timu kutumia basi dogo "min bus" aina ya Toyota Coaster?

Halafu kuhusu Mapinduzi Cup; tukubaliane tu timu imetolewa na Mlandege, na hivyo kuvuliwa ubingwa. Na kila mtu aliona. No politics on that.
 
Kwani ni uongo kuhusu hilo basi la timu kushikiliwa na mdhamini, kiasi cha timu kutumia basi dogo "min bus" aina ya Toyota Coaster?

Halafu kuhusu Mapinduzi Cup; tukubaliane tu timu imetolewa na Mlandege. Na kila mtu aliona.
wakipanda coster hawifiki?.uwanjani hawaingiii?? Hebu pambaneni na Fei alie wakataa live huko mnashindwa kumpa hela yake anayostahili
 
Waende kokote wanakoweza wakirudi wanapigwa kidude

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Huko simba alishatoka zamani. Hayo ni malengo ya timu ndogo kuzikamia timu kubwa.
Malengo ya simba ni CAFCL .

Kwaheri tunaenda Dubai bakini kwenye kikombe chenu cha mil 15. Tukutane NBCpl Mungu akijalia

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa muende Washington DC sasa imekuwa Dubai.[emoji23][emoji23]?
 
Back
Top Bottom