Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Hahahaha hawa kolo wana akili za kileviKambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hawa kolo wana akili za kileviKambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....
Mlongo umefufukia wa DUNDUKA wangu?Na nyie mlongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mihogo FC, FEI kawakataaa livee hawataki na kawacheka kwa dharauuuuu.
Poleeeeeeeeni utopwiseeeeeeeeeeee.
Byuti byuti imekua tifu tifu, mnalooooo hiliiiiiiii
Watu weuweeeeeeeeeee
Dunduka lenu shemela Kalpana , ni kama MAKOLO, KOLO, NGADA etc.. Mkiwa wengi mnaitwa madunduka, ukiwa peke yako kama hivi DUNDUKANa nyie nasikia jana mmekua Madundukaa hahahahahhaaha
Kwani Yanga alifungwa jana? Shemela DUnduka bana unaniangusha..!!Hata ww dunduka jana mtoa jina kasema ukifungwa huko zenji ukarudi kwenu bara ww ni dunduka..hivyo na ww ni dundu 😆 😆
Bwana acha ugumu wa kuelewa ww Dunduka wa utopoloni...kumbe hamkufungwa basi waliotolewa mashindanoni 😆 😆 kikubwa mmerudi na nyie ndo wale wale...ww niite hivyo na mm ntakuita hivyo hivyo....Kwani Yanga aliyefungwa jana? Shemela DUnduka bana unaniangusha..!!
Yaani dunduka bwana, unaona wewe kutoka kwa kufungwa ni sawa kwa vile Yanga katoka kwa sare..!! Dundu at her bestBwana acha ugumu wa kuelewa ww Dunduka wa utopoloni...kumbe hamkufungwa basi waliotolewa mashindanoni 😆 😆 kikubwa mmerudi na nyie ndo wale wale...ww niite hivyo na mm ntakuita hivyo hivyo....
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮nendeni hata mbinguni hizi zama za wananchi,km kwenda dubai ndo maandalizi mazuri ya timu mtatuambia huko dubai mmekutana na timu ngapi zilizokuja kujiandaa,na ligi kibao bado zimesimaa km budesliga,ligi ya sweden,norway n.k...
nyie cku hzi mmekuwa watu wa propaganda,mmeenda dubai mpate vya kuzungumza au kumzungumziwa maana mmepoteza mvuto mbele ya mashabiki wenu..MADUNDUKA
Jimbo la Florida hamnaga winter acha kukariri sio marekani yote inabaridiMarekani huu ni msimu wa baridi kali sana. Unapoambiwa Simba inaendesha mambo kisomi uwe unaelewa na siyo kukaza fuvu.
Kambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....
Impact ya Dubai na maeneo mengine huwa hazionekana, vipi kabla ya msimu hakuna timu zimefanya kambi nje ya mbona hatujaona utofauti zilizo amua kubaki!!. Tz ina watu hovyoo sana hivi suala la kwenda Dubai nalo linahitaji MJADALA? Au hamjui kwamba aliyewapa hiyo ofa ndio atanufaika nayo akiwatumia mpitishe sembe lake!!.
Dubai ni Kijiwe cha wauza unga, hata machawa wa Sallah Mwijaku na baba Revo nao wamepelekwa Dubai.
Unaongelea Florida ipi wewe? -3°C siyo baridi au unaongelea Florida ya Philippines? Kagua tena taarifa zako we mjuajiJimbo la Florida hamnaga winter acha kukariri sio marekani yote inabaridi