Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Sasa huu ndio utopoloHata iwe joto, hakuna mchezaji wa Simba atapata VISA ya US, Wote wanajulikana kuwa ni wasafirishaji wakubwa wa mambo ya Mexico na Pakistan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huu ndio utopoloHata iwe joto, hakuna mchezaji wa Simba atapata VISA ya US, Wote wanajulikana kuwa ni wasafirishaji wakubwa wa mambo ya Mexico na Pakistan
Dunduka FC hawawezi kuelewa..!!!Kwani ni uongo kuhusu hilo basi la timu kushikiliwa na mdhamini, kiasi cha timu kutumia basi dogo "min bus" aina ya Toyota Coaster?
Halafu kuhusu Mapinduzi Cup; tukubaliane tu timu imetolewa na Mlandege, na hivyo kuvuliwa ubingwa. Na kila mtu aliona. No politics on that.
Tutajua mbichi na mbivu soon...A. Fei baada ya kununua uhuru wake yanga alienda dubai.
B. Nayo simba baada ya kutolewa kombe la mapinduzi imetimkia dubai.
C. Ukiunganisha dots utaona kuwa upo uwezekano wa uhusiano kati ya A na B. Au aliyefanikisha A kwenda dubai ndiyo huyo huyo aliyefanikisha B kwenda huko huko.
D. Au nimesema uongo ndugu zangu?
Na nyie nasikia jana mmekua Madundukaa hahahahahhaahaDunduka FC hawawezi kuelewa..!!!
Na nyie mmetolewa na nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ni uongo kuhusu hilo basi la timu kushikiliwa na mdhamini, kiasi cha timu kutumia basi dogo "min bus" aina ya Toyota Coaster?
Halafu kuhusu Mapinduzi Cup; tukubaliane tu timu imetolewa na Mlandege, na hivyo kuvuliwa ubingwa. Na kila mtu aliona. No politics on that.
Pesa zako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fei amewakataa live shogaaa angu, km hawajui vileee na kasema hataki kurudi kimbiji kibonde maji na 4ml za mboga.Bora hata ungesema uongo! Yaani wewe umepitiwa na ka usingizi katamu hii asubuhi; halafu ukaishia tu kupata njozi ya kufikirika.
Na nyie mlongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dunduka FC hawawezi kuelewa..!!!
UnbeatenNa nyie mmetolewa na nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo GSM anampeleka Manara anaenda kuuza ungaDubai ni Kijiwe cha wauza unga, hata machawa wa Sallah Mwijaku na baba Revo nao wamepelekwa Dubai.
nendeni hata mbinguni hizi zama za wananchi,km kwenda dubai ndo maandalizi mazuri ya timu mtatuambia huko dubai mmekutana na timu ngapi zilizokuja kujiandaa,na ligi kibao bado zimesimaa km budesliga,ligi ya sweden,norway n.k...Huoni aibu wewe UTO pesa inaongea nyie fungieni hao misukule wenu kina kambole hapo avic town
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unbeaten
Kocha wenu wa makipa yupo Segerea kwa kesi ya unga yeye na Cambiaso, Sasa inaonekana bado hamjakoma, za Mwizi ni arobaini.SIMBA TUNAENDA DUBAI YANGA WANAENDA UWANJA WA FISI[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hii propoaganda imewachota akili, simba hmna uwezo kubeba ilo kombe la caf mnaenda kama washiriki tu. Enzi za manara akiwa msemaji mlijinasibu kuchukua ubingwa miaka 10 mfululizo yanga katengeneza timu kakupiga gap nyumbani sasa hivi mmeamia kwenye propaganda ya CAF ni kweli kwa sasa linapokuja suala la mashindano ya kimataifa bado yanga anajitafuta ila akipata funguo ya haya mashindano sijui mtakuja na propaganda ipi tena na hapa nyumbani sio kwamba hamtaki ubingwa ila mnaukosa kwa sababu yanga ana timu imara sana kushinda nyieHuko simba alishatoka zamani. Hayo ni malengo ya timu ndogo kuzikamia timu kubwa.
Malengo ya simba ni CAFCL .
ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai.
Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
Tuzungumze kuhusu Mapinduzi tena, tafadhali..!Kwani ni uongo kuhusu hilo basi la timu kushikiliwa na mdhamini, kiasi cha timu kutumia basi dogo "min bus" aina ya Toyota Coaster?
Halafu kuhusu Mapinduzi Cup; tukubaliane tu timu imetolewa na Mlandege, na hivyo kuvuliwa ubingwa. Na kila mtu aliona. No politics on that.