rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Azam hawakwenda Misri lakini waliua mtuILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai.
Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
Kwani ni uongo kuhusu hilo basi la timu kushikiliwa na mdhamini, kiasi cha timu kutumia basi dogo "min bus" aina ya Toyota Coaster?ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai.
Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
Waende kokote wanakoweza wakirudi wanapigwa kidude
wakipanda coster hawifiki?.uwanjani hawaingiii?? Hebu pambaneni na Fei alie wakataa live huko mnashindwa kumpa hela yake anayostahiliKwani ni uongo kuhusu hilo basi la timu kushikiliwa na mdhamini, kiasi cha timu kutumia basi dogo "min bus" aina ya Toyota Coaster?
Halafu kuhusu Mapinduzi Cup; tukubaliane tu timu imetolewa na Mlandege. Na kila mtu aliona.
Mbona kama umechukia kaka vipi kuna tatizo?wakipanda coster hawifiki?.uwanjani hawaingiii?? Hebu pambaneni na Fei alie wakataa live huko mnashindwa kumpa hela yake anayostahili
Huko simba alishatoka zamani. Hayo ni malengo ya timu ndogo kuzikamia timu kubwa.Waende kokote wanakoweza wakirudi wanapigwa kidude
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Nimetoa tuu maoni ..hakuna tatizo DadaMbona kama umechukia kaka vipi kuna tatizo?
Wivu tu mkuu!!! Hata huyo mbeya city anatamani kwenda huko , tatizo ni pesa.Kambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....
Mihogo ni shida...Kambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....
Watacheza kikosi B π π πKambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....
Alipigwa kidude kimoja katolewa mapinduzi cup daah inauma mnyamaKambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....
Kambi DUBAI na una mechi VS MBEYA CITY tar 17/01/2023??
Upumbavu.....