ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

Upumbavu wa nani sasa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

DALILI NYINGINE YA UMASIKINI NI KUONA MWINGINE ANATUMIA PESA ZAKE VIBAYA.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
maisha yanaenda kasi sana kutoka zama za kusheherekea ubingwa mara 1,2,3,4 plus pira birian mpk mpk leo kusherekea timu kwenda dubai hakika MADUNDUKA wameishiwa
 
maisha yanaenda kasi sana kutoka zama za kusheherekea ubingwa mara 1,2,3,4 plus pira birian mpk mpk leo kusherekea timu kwenda dubai hakika MADUNDUKA wameishiwa
Huoni aibu wewe UTO pesa inaongea nyie fungieni hao misukule wenu kina kambole hapo avic town
 
Impact ya Dubai na maeneo mengine huwa hazionekana, vipi kabla ya msimu hakuna timu zimefanya kambi nje ya mbona hatujaona utofauti zilizo amua kubaki!!. Tz ina watu hovyoo sana hivi suala la kwenda Dubai nalo linahitaji MJADALA? Au hamjui kwamba aliyewapa hiyo ofa ndio atanufaika nayo akiwatumia mpitishe sembe lake!!.
 
Na Yanga imebaki eeh
 
Timu ya kibubu inashindana na fei toto, dogo komaa hapo Yanga ukibaki utakuwa mganga wa kienyeji
 
Hyo timu bana hawana mpinzani mambo yao yanaenda kisomi sana...
Hapa ndo wale wa kusema kila mtu ashinde mechi zake wanapokuja..
A. Fei baada ya kununua uhuru wake yanga alienda dubai.

B. Nayo simba baada ya kutolewa kombe la mapinduzi imetimkia dubai.

C. Ukiunganisha dots utaona kuwa upo uwezekano wa uhusiano kati ya A na B. Au aliyefanikisha A kwenda dubai ndiyo huyo huyo aliyefanikisha B kwenda huko huko.

D. Au nimesema uongo ndugu zangu?
 
Bora hata ungesema uongo! Yaani wewe umepitiwa na ka usingizi katamu hii asubuhi; halafu ukaishia tu kupata njozi ya kufikirika.
 
Ilikuwa muende Washington DC sasa imekuwa Dubai.[emoji23][emoji23]?
Marekani huu ni msimu wa baridi kali sana. Unapoambiwa Simba inaendesha mambo kisomi uwe unaelewa na siyo kukaza fuvu.
 
Marekani huu ni msimu wa baridi kali sana. Unapoambiwa Simba inaendesha mambo kisomi uwe unaelewa na siyo kukaza fuvu.
Hata iwe joto, hakuna mchezaji wa Simba atapata VISA ya US, Wote wanajulikana kuwa ni wasafirishaji wakubwa wa mambo ya Mexico na Pakistan
 
Dubai ni Kijiwe cha wauza unga, hata machawa wa Sallah Mwijaku na baba Revo nao wamepelekwa Dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…