Kwani wewe ulizaliwa bila bikra mkuu? Kama bado unayo, kaa na mamako umuulize atakupa maelezo. Au kama hauna mama basi kaa na dadako au shangazi yako au rafiki yako atakuepeza faida za bikra.Thamani ya ubikra ikoje kwanza?
coz inaonesha unajua vizuri,,na uo uthamani sidhan kama ni nje na kuja kuliwa na mwanaume tena apo baadae 😄😄Kwani wewe ulizaliwa bila bikra mkuu? Kama bado unayo, kaa na mamako umuulize atakupa maelezo. Au kama hauna mama basi kaa na dadako au shangazi yako au rafiki yako atakuepeza faida za bikra.
Lkn kama huna bikra maana yake malezi yako hayakuwa mazuri, na wewe mwenyewe utakuwa si mwanamke mwenye thamani kwa sasa.
Si unaonaga Kuna wanawake wanahongwa majumba, magari ya kifahari na wanafunguliwa mabiashara makubwa? Hawa Wana thamani .sasa mkuu si unambie wewe
coz inaonesha unajua vizuri,,na uo uthamani sidhan kama ni nje na kuja kuliwa na mwanaume tena apo baadae 😄😄
ata io buku tunahongwa sasa,, hehehe kajala alihongwa range kumbe alikua bikira😁😁,,unapotoa hoja hakikisha una mifano yenye akili sio kukurupuka tu.Si unaonaga Kuna wanawake wanahongwa majumba, magari ya kifahari na wanafunguliwa mabiashara makubwa? Hawa Wana thamani .
Halafu Kuna akina nyie mnahongwa buku, chips, bando, Kodi ya chumba, ama hata mnatoa k kwa mkopo. Hawa hawana thamani
afu niltaka kusahau mkuu,, uthamani wa bikira waliujua wanaume wa zaman yaani baba zetu ila sio nyie vingwendu😂😂 wasasa.Si unaonaga Kuna wanawake wanahongwa majumba, magari ya kifahari na wanafunguliwa mabiashara makubwa? Hawa Wana thamani .
Halafu Kuna akina nyie mnahongwa buku, chips, bando, Kodi ya chumba, ama hata mnatoa k kwa mkopo. Hawa hawana thamani
Hahaa ,si ndio hapo. Hizo bikra zinatolewq na hao hao. Kama kujitonza tujitunze wote.yani utafikiri izo bikira tunajitoa na vibunzi, kumbe wanaolalama ndo hao wanaotutoa,,mxiuuu
🤝🏾Hahaa ,si ndio hapo. Hizo bikra zinatolewq na hao hao. Kama kujitonza tujitunze wote.
Achana na maigizo ya akina kajala. Hilo range uliliona? Bikra Ina thamani, soma hapa chini.ata io buku tunahongwa sasa,, hehehe kajala alihongwa range kumbe alikua bikira😁😁,,unapotoa hoja hakikisha una mifano yenye akili sio kukurupuka tu.
Amka utajikojolea mkuuAchana na maigizo ya akina kajala. Hilo range uliliona? Bikra Ina thamani, soma hapa chini.
View attachment 2994346
Amka utajikojolea mkuu
Hiyo ni huko Sudan na pia ni kwa vile huyo mrembo ni almaarufu. Niambia ni mabkira wangapi ambao wameshawahi kupewa hizo zawadi? Tunaona wanaozawadiwa mizawadi ni watu almaarufu ambao hata bikra hawana. Na pia kuwa bikra sio kipimo cha kutulia kwenye ndoa. Halafu hiyo miaka 19 kuna maji wengi tu wana bikra .Achana na maigizo ya akina kajala. Hilo range uliliona? Bikra Ina thamani, soma hapa chini.
View attachment 2994346
Hakuna uhusiano kati ya mke mwema na ubikra. Na ukimuoa mwanamke kwasababu ya bikra kuna wakati utafika utamchukia baada ya kumtumia.Tukifanikiwa kuwajenga wasichana wasigawe k kabla ya ndoa itasaidia sana. Tabia ya mtu hujengeka utotoni. Ukubwani siyo rahisi sana kumdanganya mtu.
Imesema nilete ushahidi wa thamani ya bikra. Nimekupa. Na wewe leta ushahidi wa thamani ya bwawa (kupoteza bikra kwa kudanga.)Amka utajikojolea mkuu
Mimi kaka zangu wa 3 walioa bikra kutoka huko vijijini. Ndoa zao zilivunjika kutokana na vitimbi vya hao mabikra. Wamekuja mjini wamekutana na wajanja wengine na kuonja ladha tofauti. Bikra sio kipimo cha kuwa mke mwemaHakuna uhusiano kati ya mke mwema na ubikra. Na ukimuoa mwanamke kwasababu ya bikra kuna wakati utafika utamchukia baada ya kumtumia.
Kuna dada alijitunza hadi akafikisha above 25yrs na bado aliyembikiri hakumuoa na hakumtaka twna baada tu ya kumbikiri kwa kutumia nguvu. Sometimes anajutia hata kwanini alijitunza. Wasio na bikra wanapata waume wa maana tena wanatulia na ndoa zao
hahahaha,, thamani ya ubikra n kwa wanaume wa zaman waliojitambua sio kwa nyie wasasa😎Imesema nilete ushahidi wa thamani ya bikra. Nimekupa. Na wewe leta ushahidi wa thamani ya bwawa (kupoteza bikra kwa kudanga.)
Mungu ndo wa kwanza kuipa ubikra thamani alipoamua kumtumia mwanamke bikra kumleta Yesu duniani.Thamani ya ubikra ikoje kwanza?
Kuwainua wasio bikra ni kuhalalisha uasherati kabla ya ndoa. Lazima wajue consequences ili wawafundishe watoto wao wa kike uthamani wake.Mimi kaka zangu wa 3 walioa bikra kutoka huko vijijini. Ndoa zao zilivunjika kutokana na vitimbi vya hao mabikra. Wamekuja mjini wamekutana na wajanja wengine na kuonja ladha tofauti. Bikra sio kipimo cha kuwa mke mwema