- Thread starter
- #41
Kwani wewe ulizaliwa bila bikra mkuu? Kama bado unayo, kaa na mamako umuulize atakupa maelezo. Au kama hauna mama basi kaa na dadako au shangazi yako au rafiki yako atakuepeza faida za bikra.Thamani ya ubikra ikoje kwanza?
Lkn kama huna bikra maana yake malezi yako hayakuwa mazuri, na wewe mwenyewe utakuwa si mwanamke mwenye thamani kwa sasa.