SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Wacha hizo. Hivi unajua maan ya Tekenolojia? au unaona Kuchezea tiktok ndio technology?Teknolojia
Hata wakivisoma na kuwaiga hawataweza kuwafikia kwasababu watu weusi wana roho mbaya, chuki, wivu, Ushamba, Ujuaji n.kTukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.
Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.
Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.
Sikiliza country music
Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money
Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell
Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Jibu hoja!Ubaguzi upo hata sasa, ulikuwepo na utaendelea kuwepo hapa duniani, haukwepeki.
Wewe SYLLOGIST! Kwenye uzi wako ule wa "Stop Racism" nilikwambiaga ubaguzi ni hulka ya kibinadamu ukabisha bisha sana.Jibu hoja!
Usiniletee lecture ya ubaguzi upo au haupo.
Kuna mpuuzi atakuja kupinga hoja yako na kusema soma vitabu ya Kiarab ili upate kumjuwa Mungu vizuri na kwenda peponiTukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.
Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.
Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.
Sikiliza country music
Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money
Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell
Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Kwamba wewe ni HN? Umejua kusoma na kuwaiga na kwahiyo umeendelea?Hata wakivisoma na kuwaiga hawataweza kuwafikia kwasababu watu weusi wana roho mbaya, chuki, wivu, Ushamba, Ujuaji n.k
Ni kama wana laana hivi
Kupanga mijiKujifunza nini hicho ambacho hukijui?
Kwahiyo ikiwa ni hulka ya Binadamu? Ndio ina maana DR haya land alete Rcist contents hapa?Wewe SYLLOGIST! Kwenye uzi wako ule wa "Stop Racism" nilikwambiaga ubaguzi ni hulka ya kibinadamu ukabisha bisha sana.
Leo tena umeambiwa hapa.
Kupanga miji,Mambo yao ya kuiga mazuri ni yepi hayo? na hayo mabaya yao ni yepi? Tuwekee mifano?
Hao wazungu wenyewe walikuja kujifunza jinsi ya kupanga miji huku Afrika. Wamekuta miji iliyopangwa na miundombinu, Congo to Zimbabwe.Kupanga miji
Imekuaje sisi tumeacha kupanga miji yetu huku mijo yao wakiijenga na kuipanga kwa ustadi na ustaarabu mkubwa sana??Hao wazungu wenyewe walikuja kujifunza jinsi ya kupanga miji huku Afrika. Wamekuta miji iliyopangwa na miundombinu, Congo to Zimbabwe.
Hata weupe ni vinara wa Rushwa na kila siku wanakamatana na rushwa.Kupanga miji,
Kudhibiti rushwa,
Mazingira gani hayo miaka 500 bado watu weusi hawana hayo mazingira bora huko ulaya na marekani. Ati mazingira?Mazingira bora na rafiki ya biashara,
Kuwajibika katika kutoa huduma kwa wateja kwa ubora na wakati.
Nje ya Hoja.Imekuaje sisi tumeacha kupanga miji yetu huku mijo yao wakiijenga na kuipanga kwa ustadi na ustaarabu mkubwa sana??
Kupanga miji kwa ustadi na ubora ni sehemu ya maendeleo.Nje ya Hoja.
Mleta mada anadai watu weusi hawajaendelea.
Nijibu, Maendeleo ni nini? Ni maendeleo gani ya mtu mweupe aliyekuwa nayo ambayo mtu mweusi hana.
Sasa usinieleze sijui mambo ya huduma za wateja.
Waulize ndugu zako wa huko Ulaya na Marekani kwa nini walienda huko na kwa nini kuna maelfu ya Waafrika wanafia bahari ya Mediterranean kila mwaka kufika ulaya.Hata weupe ni vinara wa Rushwa na kila siku wanakamatana na rushwa.
Mazingira gani hayo miaka 500 baeo watu weusi hawana hayo mazingira bora huko ulaya na marekani. Ati mazingira?
Nanndugu na marafiki huko ulaya na marekani. Wananiambia huduma za wateja ni hovyo kabisa, sasa mpaka uunganishwe India au Pakistani upate hudumu na wastani wa kusubiri na kupata huduma ni saa limoja!
Wewe hunaga hoja zaidi ya mihemko na hasira za kijinga jinga.Kwahiyo ikiwa ni hulka ya Binadamu? Ndio ina maana DR haya land alete Rcist contents hapa?
Wewe na yeye na wengine nina wahifadhi ndio genge lenyewe hilo ninalo lizungumzia. Bigoted, Racist and mysoginistic twaats.
Jibu hoja. Uwache kurukia u boo.
Hizi ndio shida za mtu mweusi mambo yote umeacha umetaja mambo ya kijinga kabisaUshoga nao ni wakujifunza?
Bado unarukaruka tu....Nijibu, Maendeleo ni nini? Ni maendeleo gani ya mtu mweupe aliyekuwa nayo ambayo mtu mweusi hana?Kupanga miji kwa ustadi na ubora ni sehemu ya maendeleo.
Huduma nzuri na bora kwa wateja hospitalini, shuleni, Airports, Hotelini, ofisi za serikali n.k ni sehemu ya maendeleo.
So what? Racism ipo dunia nzima? Bora ungeniambia kitu sijui hatahivyo hiyo siyo hoja yanguWewe hunaga hoja zaidi ya mihemko na hasira za kijinga jinga.
Racism ipo dunia nzima whether you like it or not.
Ngoja sindano ikuingie. HN oops, Uncle Tom! Nani ameweka emotions hapo?Emotions na feelings zako pelekea mamako
Nimeshawauliza , na hakuna hata mmoja aliyetoa sababu za kwenda huko kwasababu ya Wazungu wameendelea au mtu mweusi anahitaji kuwaiga ili aendlee!Waulize ndugu zako wa huko Ulaya na Marekani kwa nini walienda huko na kwa nini kuna maelfu ya Waafrika wanafia bahari ya Mediterranean kila mwaka kufika ulaya.