Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya Katiba kiheshimiwe

Hivi huyu JIWE alitoka wapi? Mbona sasa yeye ndiye TZ, ndiye katiba, ndiye kila kitu?
 
Ili kupata Katiba Mpya "Iliyo bora" --maana tunaweza kubadili Katiba ikaletwa yenye madhara zaidi -- ni lazima kuwe na msukumo wa dhati kutoka makundi yote ya jamii. Hakuna nchi iliyobadili Katiba yake bila ya kuwepo kwa "msukumo", uwe wa amani au la. Lazima huo msukumo uchagizwe na makundi maalum ya jamii, pasi na wanasiasa.
 
Ukosahihi mkuu ila kwa Taifa letu Tz wananchi hawana mwamko katika kudai haki. Wanaamini maneno ya kiongozi kwao tayari ni katiba tosha. Kwa hali hiyo bado tunasafari ndefu sana kuifikia katiba iliyo bora.
 
Halina ubishi kuwa taifa letu linakwenda shagalabagala,maana katiba inakanyagwa na hii ni picha mbaya sana.
Umetumwa na nani kuleta mada hii hapa?

Wewe unachokiamini ni kipi hasa; katiba au kumwabudu mtu kwa vile tu wewe unaitwa 'Chagu wa malunde' na yeye analo jina linaloshabihiana na hilo lako?

Unataka kusikia/kusoma yapi juu ya mada hii watakayoyaandika wachangiaji watakaosoma ulichoandika hapa?

Je unataka wasomaji wako hapa wafute kila kitu walichowahi kukisoma toka kwako ndani ya Jukwaa la Jamii Forum?

Unataka nini hasa? Watu wajue kwamba wewe ni mjuvi wa mambo na unaheshimu hayo unayoyajua?
 
Nitakujibu baadae.
 
Kuwa specific wapi JPM alivunja katiba na kisha nikamtetea? Kama unafiki unao wewe.
Naona unatafuta kuwapotezea muda watu.

Watu makini wakitaka kukupa ushahidi hapa si kazi ngumu, kwa sababu vilelelezo vipo tele.

Lakini ya nini kupoteza muda, wakati hata ukipewa ushahidi huo bado utajifanya sio ushahidi?

Jibu ni kukuacha tu ubaki na dhamira yako inayokusuta; kama kweli una dhamira! Maana ungekuwa nayo, usingekuwa unavyojitambulisha hapa.
Huenda sikuliandika hili vizuri ili unielewe maana ninayoilenga.
 
Aisehhh...umenena kimamlaka sana.
 
Dogo tatizo lako nini?
 
Dogo tatizo lako nini?
Sina tatizo. Mwenye tatizo ni wewe chizi.

Hata unathubutu kuita watu usiowafahamu majina. Huo sio upumbavu?

Nilishakufundisha hapa naona hufundishiki kabisa wewe! Sasa unakuja na huu upuuzi mwingine wa kujisafisha matope; unadhani watu ni wajinga?

Kama umenyimwa mkataba mpya, kawalilie hao waliokunyima. Pengine hawakuridhika na kazi uliyofanya ngwe iliyopita.

Halafu usiwe na mazoea ya kujibishana na watu wenye akili timamu. Sina muda wa kupoteza na wapumbavu.

Kama huridhiki na niliyokuandikia hapa, nenda kajinyonge.
 
Ngoja nikuunblock naona kichwa kimeanza kuwa Sawa..... Akili zinakurudia sasa
 
Unahitaji kujibiwa?
 
Watu washafanya maamuzi ya kubadili awamu za utawala...kinachosubiriwa ni timing tu hapo Bungeni..aka kikao cha chama chao.
 
Kumbe Ukitulia ukaweka ushabiki wa kichama pembeni huwa unakuwa MTU, umenena yaliyo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…