Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
- Thread starter
- #81
Tumia akili we kijana.Huyu si uvccm mwenzetu, kulikoni!

Hivi huyu JIWE alitoka wapi? Mbona sasa yeye ndiye TZ, ndiye katiba, ndiye kila kitu?Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote.
Leo hii taifa letu linashuhudia mambo mengi tu ambayo ni kinyume na kabisa na kilichoandikwa ndani ya katiba yetu ya JMT. Mfano ibara ya 13 (1) ya katiba ya JMT imeweka wazi juu ya usawa wa kila raia mbele ya sheria za nchi nyetu. Lakini ukweli ni kuwa hili halipo hivyo. Tunashuhudia watu wengi wanafanya makosa na kwa kuwa ni viongozi au watumishi wa serikali wanalindwa na hata hawachuliwi hatua.
Ibara ya 13 (6)(b) imeweka wazi kuwa hakuna mtu ambaye atatiwa hatiani mpaka mahakama ithibishe hatia yake,lakini tumesuhudia watu wakichalazwa bakora hadharani na viongozi kama punda.
Ibara ya 23 (2) imetamka wazi kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara au ujira unaostahili,lakini tunashuhudia watumishi wa umma wakinug'unika kwa zaidi ya miaka mitano bila kupata nyongeza ya mishahara inayoendana na hali ya maisha.
Je, hili la wabunge waliofukuzwa Chadema na wao kukiri wazi kuwa wamefukuzwa kwa kukata rufaa lakini leo tunawaona wakitinga bungeni mbona linatia aibu!
Ibara ya 67 1(1)(b) imeweka wazi kuwa mbunge lazila awe mwanachama wa chama cha siasa aliyepitishwa na chama chake. Ibara ya 71(1) (e) imeweka wazi kuwa ukomo wa mbunge utakoma iwapo uanachama wake utakoma. Je, hawa waliofukuzwa ni wabunge?
Halina ubishi kuwa taifa letu linakwenda shagalabagala,maana katiba inakanyagwa na hii ni picha mbaya sana. Je wananchi nao wakija kuanza kutoitii katiba ya JMT nini kitafuatia? Maana tusiangalie sarafu upande mmoja kana kwamba sisi sio binadamu.
Ili kupata Katiba Mpya "Iliyo bora" --maana tunaweza kubadili Katiba ikaletwa yenye madhara zaidi -- ni lazima kuwe na msukumo wa dhati kutoka makundi yote ya jamii. Hakuna nchi iliyobadili Katiba yake bila ya kuwepo kwa "msukumo", uwe wa amani au la. Lazima huo msukumo uchagizwe na makundi maalum ya jamii, pasi na wanasiasa.Sidhani kama kuna njia nzuri ya kutafuta katiba mpya kwa amani bila kulamba miguu wahusika japo si kazi rahisi kwao kukubali ila juhudi za kupiga kelele kwa amani hilo linaweza kufanikiwa. Ila tatizo linalotusumbua Watanzania tuliokuwa wengi ni ubinafsi na roho ya kwanini hapo itatuwia vigumu
Mahakama gani?Mahakama Ipo kwa ajir yakulnd katiba
Ukosahihi mkuu ila kwa Taifa letu Tz wananchi hawana mwamko katika kudai haki. Wanaamini maneno ya kiongozi kwao tayari ni katiba tosha. Kwa hali hiyo bado tunasafari ndefu sana kuifikia katiba iliyo bora.Ili kupata Katiba Mpya "Iliyo bora" --maana tunaweza kubadili Katiba ikaletwa yenye madhara zaidi -- ni lazima kuwe na msukumo wa dhati kutoka makundi yote ya jamii. Hakuna nchi iliyobadili Katiba yake bila ya kuwepo kwa "msukumo", uwe wa amani au la. Lazima huo msukumo uchagizwe na makundi maalum ya jamii, pasi na wanasiasa.
Umetumwa na nani kuleta mada hii hapa?Halina ubishi kuwa taifa letu linakwenda shagalabagala,maana katiba inakanyagwa na hii ni picha mbaya sana.
Nitakujibu baadae.Umetumwa na nani kuleta mada hii hapa?
Wewe unachokiamini ni kipi hasa; katiba au kumwabudu mtu kwa vile tu wewe unaitwa 'Chagu wa malunde' na yeye analo jina linaloshabihiana na hilo lako?
Unataka kusikia/kusoma yapi juu ya mada hii watakayoyaandika wachangiaji watakaosoma ulichoandika hapa?
Je unataka wasomaji wako hapa wafute kila kitu walichowahi kukisoma toka kwako ndani ya Jukwaa la Jamii Forum?
Unataka nini hasa? Watu wajue kwamba wewe ni mjuvi wa mambo na unaheshimu hayo unayoyajua?
Naona unatafuta kuwapotezea muda watu.Kuwa specific wapi JPM alivunja katiba na kisha nikamtetea? Kama unafiki unao wewe.
Aisehhh...umenena kimamlaka sana.Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote.
Leo hii taifa letu linashuhudia mambo mengi tu ambayo ni kinyume na kabisa na kilichoandikwa ndani ya katiba yetu ya JMT. Mfano ibara ya 13 (1) ya katiba ya JMT imeweka wazi juu ya usawa wa kila raia mbele ya sheria za nchi nyetu. Lakini ukweli ni kuwa hili halipo hivyo. Tunashuhudia watu wengi wanafanya makosa na kwa kuwa ni viongozi au watumishi wa serikali wanalindwa na hata hawachuliwi hatua.
Ibara ya 13 (6)(b) imeweka wazi kuwa hakuna mtu ambaye atatiwa hatiani mpaka mahakama ithibishe hatia yake,lakini tumesuhudia watu wakichalazwa bakora hadharani na viongozi kama punda.
Ibara ya 23 (2) imetamka wazi kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara au ujira unaostahili,lakini tunashuhudia watumishi wa umma wakinug'unika kwa zaidi ya miaka mitano bila kupata nyongeza ya mishahara inayoendana na hali ya maisha.
Je, hili la wabunge waliofukuzwa Chadema na wao kukiri wazi kuwa wamefukuzwa kwa kukata rufaa lakini leo tunawaona wakitinga bungeni mbona linatia aibu!
Ibara ya 67 1(1)(b) imeweka wazi kuwa mbunge lazila awe mwanachama wa chama cha siasa aliyepitishwa na chama chake. Ibara ya 71(1) (e) imeweka wazi kuwa ukomo wa mbunge utakoma iwapo uanachama wake utakoma. Je, hawa waliofukuzwa ni wabunge?
Halina ubishi kuwa taifa letu linakwenda shagalabagala,maana katiba inakanyagwa na hii ni picha mbaya sana. Je wananchi nao wakija kuanza kutoitii katiba ya JMT nini kitafuatia? Maana tusiangalie sarafu upande mmoja kana kwamba sisi sio binadamu.
Dogo tatizo lako nini?Naona unatafuta kuwapotezea muda watu.
Watu makini wakitaka kukupa ushahidi hapa si kazi ngumu, kwa sababu vilelelezo vipo tele.
Lakini ya nini kupoteza muda, wakati hata ukipewa ushahidi huo bado utajifanya sio ushahidi?
Jibu ni kukuacha tu ubaki na dhamira yako inayokusuta; kama kweli una dhamira! Maana ungekuwa nayo, usingekuwa unavyojitambulisha hapa.
Huenda sikuliandika hili vizuri ili unielewe maana ninayoilenga.
Ni ukweli ambao haupingiki, mimi nasema kweli tu.Aisehhh...umenena kimamlaka sana.
Sina tatizo. Mwenye tatizo ni wewe chizi.Dogo tatizo lako nini?
Unahitaji kujibiwa?Sina tatizo. Mwenye tatizo ni wewe chizi.
Hata unathubutu kuita watu usiowafahamu majina. Huo sio upumbavu?
Nilishakufundisha hapa naona hufundishiki kabisa wewe! Sasa unakuja na huu upuuzi mwingine wa kujisafisha matope; unadhani watu ni wajinga?
Kama umenyimwa mkataba mpya, kawalilie hao waliokunyima. Pengine hawakuridhika na kazi uliyofanya ngwe iliyopita.
Halafu usiwe na mazoea ya kujibishana na watu wenye akili timamu. Sina muda wa kupoteza na wapumbavu.
Kama huridhiki na niliyokuandikia hapa, nenda kajinyonge.
Awamu ya 5 hii. Tumeshaanza kupiga ndogo ndogo bungeni aongezewe mihula. JPM oyee!Kitanuka soon
Atawale mileleAwamu ya 5 hii. Tumeshaanza kupiga ndogo ndogo bungeni aongezewe mihula. JPM oyee!
Kumbe Ukitulia ukaweka ushabiki wa kichama pembeni huwa unakuwa MTU, umenena yaliyo kweli.Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote.
Leo hii taifa letu linashuhudia mambo mengi tu ambayo ni kinyume na kabisa na kilichoandikwa ndani ya katiba yetu ya JMT. Mfano ibara ya 13 (1) ya katiba ya JMT imeweka wazi juu ya usawa wa kila raia mbele ya sheria za nchi nyetu. Lakini ukweli ni kuwa hili halipo hivyo. Tunashuhudia watu wengi wanafanya makosa na kwa kuwa ni viongozi au watumishi wa serikali wanalindwa na hata hawachuliwi hatua.
Ibara ya 13 (6)(b) imeweka wazi kuwa hakuna mtu ambaye atatiwa hatiani mpaka mahakama ithibishe hatia yake,lakini tumesuhudia watu wakichalazwa bakora hadharani na viongozi kama punda.
Ibara ya 23 (2) imetamka wazi kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara au ujira unaostahili,lakini tunashuhudia watumishi wa umma wakinug'unika kwa zaidi ya miaka mitano bila kupata nyongeza ya mishahara inayoendana na hali ya maisha.
Je, hili la wabunge waliofukuzwa Chadema na wao kukiri wazi kuwa wamefukuzwa kwa kukata rufaa lakini leo tunawaona wakitinga bungeni mbona linatia aibu!
Ibara ya 67 1(1)(b) imeweka wazi kuwa mbunge lazima awe mwanachama wa chama cha siasa aliyepitishwa na chama chake. Ibara ya 71(1) (e) imeweka wazi kuwa ukomo wa mbunge utakoma iwapo uanachama wake utakoma. Je, hawa waliofukuzwa ni wabunge?