Unafanya nianze kuona ukeketaji ni sahihi aisee😅 maana vile viking’olewa mabinti wengi watapunguza wenge!Msichokijua ni kwamba bada ya kelele nyingi za wanaharakati wa kike wasiokeketwa kushikilia bango ukekeketaji umepungua. Kuna mademu wengi tu hawajakeketwa na wanatoka makabila yanayokeketa wanawake, hasa watoto wa 2000 wengi wao hawajakeketwa, wana visimi/vinembe virefu balaa. Tunachowapendea wanapiga stata haraka sana ukigusa pale kinembeni. Wana raha yake kwa kweli kunako majamboz!
Unaelewa nini kuhusu neno tamaduni?Ndoa ya jinsia moja ni tamaduni kwa wazungu?
Mkuu,kama una nauli mwaka huu mwezi wa 12 katikati nenda kwa wakurya wa Kenya ni jirani na Sirari ,hauhitaji visa wala passport. Huu ni mwaka wa kutahiri na kukeketa, wakurya wa Tz hawakeketi siku hizi, hivyo ukitaka ujionee wanaokeketwa wanakuwaje,Kenya ni mahali sahihi. Ukishaona wale mabinti wanavyovuja damu barabarani sidhani kama utaona ukeketaji ni kitu sahihi. Na ukibahatika kupata mtu aliyekeketwa akusimulie kile kitendo, utajuta hata kwanini umeenda huko. Anaetetea ukeketaji hajui madhira wanayopitia hao wanaokeketwa,ukijua madhira wanayokutana nayo,utalaaani mtu alieanzisha mila ya ukeketaji.Unafanya nianze kuona ukeketaji ni sahihi aisee😅 maana vile viking’olewa mabinti wengi watapunguza wenge!
Hazikuandikwa,zilirithiswa kwa mdomo na vitendo.Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k
Nini kilisababisha dini za Waafrika kuwezekana kufutwa kirahisi na kumalizwa kabisa na dini mpya za wageni?
Muafrika Hana dini.
Hauwezi ukasema mbuyu au mawe makubwa ndo Mungu wako utakuwa akili HUNA.
Ukiona mtu anaaminishwa miaka saba alitokana na nyani chimpanzee ,gorila na ana chekacheka lazima ujue hana akili na njia hiyo hiyo ndiyo iliyotumika kufuta dini za wafricaBara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k
Nini kilisababisha dini za Waafrika kuwezekana kufutwa kirahisi na kumalizwa kabisa na dini mpya za wageni?
Ubudha sio dini iliyo katika mfumo wa taasisi pia.Dini za waafrika hazipo katika mfumo wa taasisi,ni kila kabila lina dini yake. Katika huu mfumo wa utandawazi na watu kuchanganyika,dini za kiafrika zisingeweza kupambana na dini ambazo ni taasisi. Pia,dini mpya zilileta " ukombozi" kwa makundi ya kijamii yaliyokuwa yananyanyaswa kwa imani za dini za kitamaduni mfano wanawake,walemavu etc. Dini zilizoletwa na wageni zinatetea sana wanawake,zinapinga ukeketaji,unyanyasaji,zinapingana na imani kama kutupa walemavu,kuwatenga watu wenye kasoro fulani,etc. Sasa jiulize,mwanamke anaetoka kwenye kabila ambalo wanawake wanapigwa sana au kunyanyaswa na waume zao,ataachaje kuvutiwa na dini ambayo inasisitiza mume ampende mke wake kama anavyojipenda yeye mwenyewe ? Au mlemavu anaetoka katika kabila ambalo walemavu wanatupwa,ataachaje kuvutiwa na dini ambayo inasisitiza walemavu wapendwe na wajaliwe kama viumbe wengine ? Mfano mzuri kuhusu hili unapatikana kwenye kitabu cha Things Fall Apart cha Chinua Achebe ambapo wamisionari wa dini ya kikristo waliwahifadhi watu ambao kwenye jamii ya kabila la Igbo walitengwa na jamii na kufanya dini ya kikristo kuwa na ushawishi mkubwa kwenye jamii ingawa viongozi wa jamii hawakupendezwa na ushawishi huo.
Hata mimi binafsi ni mkatoliki na sababu mojawapo ni kuwa mafundisho ya Kanisa kuhusu ndoa yanasisitiza mume wangu anipende,anijali,aniongoze,aniombee etc wakati kwenye imani za kabila langu mwanaume akininyanyasa,akinidharau,asiponijali ni sawa tu. Naachaje kuwa mkatoliki halafu nifate imani yangu ya kikabila kwa hali hii ?
Mkuu,kama una nauli mwaka huu mwezi wa 12 katikati nenda kwa wakurya wa Kenya ni jirani na Sirari ,hauhitaji visa wala passport. Huu ni mwaka wa kutahiri na kukeketa, wakurya wa Tz hawakeketi siku hizi, hivyo ukitaka ujionee wanaokeketwa wanakuwaje,Kenya ni mahali sahihi. Ukishaona wale mabinti wanavyovuja damu barabarani sidhani kama utaona ukeketaji ni kitu sahihi. Na ukibahatika kupata mtu aliyekeketwa akusimulie kile kitendo, utajuta hata kwanini umeenda huko. Anaetetea ukeketaji hajui madhira wanayopitia hao wanaokeketwa,ukijua madhira wanayokutana nayo,utalaaani mtu alieanzisha mila ya ukeketaji.
Ukeketaji ni kutahiri sio sawa, ukeketaji unatoa kiungo cha mwili ambacho kilitakiwa kiwepo na kina kazi yake wakati kutahiri kunatoa sehemu ya ngozi ambayo ikiwepo inaongeza hatari ya magonjwa. Hakuna hatari ya ugonjwa unaongezeka kama mtu asipokeketwa,ukeketaji ni kumtia mtu ulemavu. Havifanani.Ukeketaji ni kutahiri yote ni sawa.
Ingawaje malengo yanaweza kuwa tofauti.
Kama ishu ni utokaji wa damu. Ukifanyika kitaalam na watalaam hiki unachoeleza kinapoteza maana kabisa.
Mabinti wa kimasai bado wanakeketwa
Lakini ni dini ambayo waamini wake wanatoka kwenye jamii zaidi ya moja na muumini wa budha anaweza kwenda bara lolote na akakuta hekalu la dini yake na akafanya ibada. Hata hapa Tanzania kuna hekalu la Budha lipo karibu na Hospital ya Muhimbili. Lakini dini za waafrika zinakuwa specific kwa kabila au jamii fulani,mwafrika akisafiri tu kwenda mkoa mwingine hawezi kuendelea na ibada . Akisafiri kwenda nchi au bara jingine ndo kabisa dini yake anaizika,hakuna mahekalu au waumini wengine wa dini kama yake anaoweza kufanya nao ibada pamoja.Ubudha sio dini iliyo katika mfumo wa taasisi pia.
Mkuu mbona Muhammad alioa mtoto wa miaka 6 akafanya nae ngono alipofikisha miaka 9, kuna ustaarabu hapo?Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.
Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
Vipi ukiona mtu anaaminishwa kuliwahi tokea mafuriko dunia nzima na kila aina ya viumbe duniani mpaka Australia, Madagascar na Zanzabiar walikusanywa katika meli moja huko mashariki ya kati??Ukiona mtu anaaminishwa miaka saba alitokana na nyani chimpanzee ,gorila na ana chekacheka lazima ujue hana akili na njia hiyo hiyo ndiyo iliyotumika kufuta dini za wafrica
Si kwamba kuna tofauti ya dini na tamaduni? Kwamba inawezekana ukachanganya baadhi ya tamaduni kwenye ila sio dini kuwa ndio tamaduni?Ukristo ambayo ni dini iliyokua na wazungu kuanzia Roman empire ni utamaduni wao ambapo hiyo dini imewasadia sana katika kutawala dunia,
Uislamu umeyasaidia sana pia mataifa yaliyoupokea enzi hizo.
Kwa sasa duniani hakuna fursa tena ya kutumia dini kunufaisha mataifa hasa ya machanga kama ya Africa.
Mungu haumjui vpi wakati amekuletea vitabu vyake?Vivyo hivyo huwezi abudu kitu ambacho hukijui na hujawahi kukiona ukawa na akili zilizotimia
Dini ni mfumo wa imani na ibada ambao watu wanafuata ili kumwabudu Mungu au nguvu ya juu, pamoja na kufuata mafundisho, sheria na maadili ya kirohoDini ni nini?
Sasa niambie mibuyu au mawe yanakufundisha niniDini ni nini?
Mimi naelewa utamaduni ni mila,asili, jadi na desturi za kundi la jamii husika.Unaelewa nini kuhusu neno tamaduni?
Au mawazo yako yakisikia neno tamaduni yanawaza mambo ya miaka 100+ iliyopita?