[emoji1787][emoji1787] aisee hizi mambo, miaka kadhaa chuo, baada ya pindi nikazama zangu Nyirenda hostel, nikaanza cheki DPs za freshers tuloingia intake ile pale chuo.
Mmoja wapo nihuyu nae msimulia, dp ilikuwa picha ya ustadhat mzufi kama wale wa iraq, mweupe na kavaa mtandio, nikasema yes ngoja nipenyeze rupia hapa.
Nikamtext, hi nakufananisha na dada mmoja nlikuwa nae jeshini anaitwa fulan(zilikuwa porojo tu), naomba tuonane.
Night ikafika, dgo alikuwa anaumwa nikamchukulia juis ya embe nikasogea Maria Nyerere hostel, nikamkuta amekaa kwenye ngazi akinisubiri.
Nlikuwa disappointed kwan yule nliemdhania hakuwa yeye, sitak kukosoa alikuwa anaonekanaje but hakuwa aina ile ya wanawake napenda, binafs napenda wanawake wenye flat tummy, kuwepo na distinction kati ya tumbo na kiuno , asiwe bonge sana.
Fast forward nikamtell kuwa nimekufananisha aksema yeye sio ile ni picha tu aliweka dp nae pia hajui ni nan, tukapiga story zingine za kuhus ugonjwa wake nikampa juis, escort hadi room kwake.
Alikuja kuwa mpenzi wangu huyu mwanamke alifanya efforts kunipenda nika give in mzee mzima, tukawa tunaachana tunarudiana.
Saivi yupo kozi hapo Moshi ya upolisi, nitaenda mcheki mahafali yao i guess july au Aug, inshallah