Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Unachat na mtu hujui hata muonekano wake ili mje kuwa wapenzi...eboh!!!

Otherwise, kukutana na mtu mliyechat mtandaoni kwa nia nyingine haina shida yeyote sababu watu wa mtandaoni ndio watu wa kitaa...

Ingawa sio kwa nia ya kuwa wapenzi, binafsi nishakutana na raia wengi tu especially wa hapa JF na experience ilikuwa poa tu...
 
🤣🤣🤣🤣Ila we jamaa
 
Na ndoa ikaendelea vizuri?
 
Dah 2009 kwenye gazeti la mwananchi kulikuwa na site ya hivyo nitatuma maombi Bana,basi nikapata wengi Tu Ila kuna mmoja inabidi niweke kisa chake kidogo sababu sijalisahau hili tukio mpk Leo.Kuna demu mmoja akatokea kunielewa Kwa jinsi tulivyokuwa tunawasiliana na kuchati mpk usiku wa manane kumbe usilolijua ni usiku WA kiza tukawa tumewasiliana kama Miezi 6 hivi siku ya siku akasema nakuja dar Kwa Baba yangu nitakwambia uje home mi Mzee mzima nikaiongoja Kwa hamu hiyo,siku ya siku imefika nikashtuliwa Bana niende maeneo ya makonde Kule chini nikachukua basi mpk Ubungo then nikaunga pale nikashuka makonde nitaanza mdogo mdogo mpka eneo nililoelekezwa,basi kufika namshitua ananiambia niangalie mbele kuna ghorofa Nyeupe ndio hapo,nikajua nimepata binge la demu kumbe naenda kuvaba Bana basi Mzee nimefika pale nikagonga kengele kumbe ndani alibaki mwenyewe peke yake Naona nimefunguliwa geti na demu mnene halafu haeleweki nikauliza Fulani nimmkuta akasema ndio yeye dah nilichoka mana alivyo ni kama yalr matoto ya matajili ambayo yanakuwa kama na mtindio wa ubongo nikajipa moyo nikasema sawa akanikalibisha mpk ndani nimekaa Sebuleni nikaletewa chai mixa yai nk yani ile kishua zaidi na hivi mimi nilizoea kuuza nyanya gengeni sikuwahi kupata mulo wa hivyo.Tukawa tunapiga story mbili tatu huku najiuliza hivi NI huyu au vipi mwisho nimemaliza akaniambia twende chumbani dah nimepanda kwenye gholofa hadi chumba chake yani chumba kinanuka mikojo yani yataka moyo nikawa napiga hesabu yani nimetoka kipunguni B mpka hapa kisa hili demu nikaona siwezi ondoka na nyege zangu ikabidi nilizagamue huku nimeziba pua baada ya hapo likawa linanitafuta mimi nikalikaushia kumbe yule demu wana maduka kaliakoo kama kumi hivi nilikuja kukutana nalo likanikumbuka ila sikuwa na mda nalo tena,yani kwenye kile kipindi nilikuja kukutana na bibi lina hostel pale kigamboni dah ila kuchati na mtu usiyemjua ni shida sana
 
Dah! Ni zaidi ya miaka 10 kule mjini FB enzi hizo bado kwa moto moto. Nikiwa bado kijana nikawa na utamaduni wa kupost picha zangu mara kwa mara. Basi kuna siku kipindi nikaanza notice mtu analike sana picha zangu, bila hiyana nikamfuata boksini. Baada ya mawasiliano ya hapa na pale tukabadilishana namba na hatimaye kuamia whatsapp. Ndani ya kipindi kifupi chats zikawa kama wapenzi. Kipindi hicho alikuwa pale Muhimbili nami nikiwa moja ya chuo hapo mjini. Kwa aina ya mazungumzo yetu niliona ni binti ambaye alikuwa kasi sana kuliko mimi nilivyokuwa hivyo nilikuwa natafuta tu fursa nipige maisha mengine yaendelee.

Baada ya kupanga mara kadhaa kukuonana na kushindikana ndipo siku moja akajichanga tukaonana. Ile kuonana aisee niliishiwa nguvu kwani hakuwa kama vile nilivyotarajia na kumuona kwenye picha. Nikapiga moyo konde na kusema liwalo na liwe. Nikaipeleka ile mama Lodge piga mpaka asubuhi. Ile kuachana asubuhi ndipo ukawa mwisho wa mawasiliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…