Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
 
Maandiko ya vitabu vya Dini ukiyafuatilia kwa kina utabaki mdomo wazi.

Vitu vingine ni kufunika Kombe maisha yaendelee
 
Yesu hakuwa mzungu ila Yahudi, jamii ya watu wa Mashariki ya kati.
Yesu aliwahi kuishi Afrika utotoni ila hajawahi kuishi ulaya.

Hajawahi kutokea bin-adamu yoyote aitwaye yesu huko uyahudi na akawa na sifa zilizoelezewa kwenye biblia bali ni hadithi na tunzi za kusadikika za wazungu.

Ndiyo maana wayahudi wengi siyo wakristo bali wanaabudu na kuamini kwenye dini yao ya uyahudi na wanampinga yesu
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Wewe unadhani alikufa? Kwani, alikuwapo?
 
Hajawahi kutokea bin-adamu yoyote aitwaye yesu huko uyahudi na akawa na sifa zilizoelezewa kwenye biblia bali ni hadithi na tunzi za kusadikika za wazungu.

Ndiyo maana wayahudi wengi siyo wakristo bali wanaabudu na kuamini kwenye dini yao ya uyahudi na wanampinga yesu

Ni kweli wayahudi walitubagua lakini Yesu hakubagua. Nafasi ya kutubu na kuiamini injili ilitolewa kwa wote. Na vipawa vya roho Mtakatifu ni kwa wote bila kujali wewe Myahudi au Myunani

John 7:37
[37] Hata siku ya mwisho, siku ile kubwa ya sikukuu, Yesu akasimama, akapaza sauti yake akisema, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe.

Acts 10:45
[45] Na wale waliotahiriwa, walioamini, wakashangaa, watu wote waliokuja pamoja na Petro, kwa sababu Mataifa nao wamemwagiwa kipawa cha Roho Mtakatifu.
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Yesu afe kwa ajili ya miafrika? Huo uongo tu. Wazungu kwa fix ni balaaa
 
Kifo cha Yesu msalabani ni ukombozi wa mataifa yote duniani. Watu wote wanaokolewa, Mungu hana ubaguzi
Mungu, mweza wa yote, aliyeumba vyote kwa kutamka tu (isipokuwa kwa mwanadamu), alishindwa kutamka neno ikabidi achukue njia ndefu (na ya hovyo), kuingia ktk tumbo la mwanamke bikira, akajizaa, akatengeneza mazingira ya kuuawa, akajifufua (kisiri), akajipaiza kwenda mbinguni akiwaahidi wafuasi wake kuwa atarudi kabla baadhi yao hawajaonja mauti. Wote walishakufa na bado hajarudi! Licha ya njia hiyo ndefu ya ukombozi, bado dhambi imetamalaki na mwanadamu bado anahitaji ukombozi. Religion is the biggest lie ever told!
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Hizo ni prpaganda tu, yesu ana uhusiano gani na mbungu, mkara, mmang'ati, mmakonde nk? Halafu awafie ili iweje?
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??

Yesu alifichwa Afrika kwa ndugu zake anaofanana nao. Huwezi kumficha albino kwa Wamasai .

Yesu alipobebeshwa msalaba alilemewa sana . Alipopita Mwafrika aitwaye Simioni Mkrene Karibu na ule msafara wa Kuelekea Golgota alilazimishwa kumsaidia Mwafrika Mwenzake msalaba ule.

Kwa hiyo sisi wa Afrika tunatakiwa tujivunie Kuwa na mkombozi wa Dunia nzima aitwaye Yeshua Masihi .
 
Kifo cha Yesu msalabani ni ukombozi wa mataifa yote duniani. Watu wote wanaokolewa, Mungu hana ubaguzi

Elimu ya dini juu ya yesu siyo akili yako bali akili yako ni kile unachobaki nacho baada ya kutoa ellimu ya dini juu ya yesu kama ulivyolishwa na kukaririshwa ambapo kwa mantiki hiyo basi wewe ukiondolewa hiyo elimu ya biblia juu ya yesu utabaki kopo tu.

Ebu jifikirie kati yako wewe Mwafrika uliyelishwa na kukaririshwa yaliyomo ndani ya biblia na mzungu aliyeandika hiyo biblia na kukurusha na kukukaririsha nani hana akili??
 
Hajawahi kutokea bin-adamu yoyote aitwaye yesu huko uyahudi na akawa na sifa zilizoelezewa kwenye biblia bali ni hadithi na tunzi za kusadikika za wazungu.

Ndiyo maana wayahudi wengi siyo wakristo bali wanaabudu na kuamini kwenye dini yao ya uyahudi na wanampinga yesu
Acha uongo dogo. Hata kama mna movement yenu ila msiijenge katika uongo.

Uyahudi mkuu ni utambulisho wa utaifa lakini pia ni utambulisho wa kidini.

Wayahudi kama dini ni kweli hawakumpokea Kristo ila wayahudi kama taufa wapo waliompokea Kristo toka enzi na enzi na ndio maana kulikuwa na mitume wa Kiyahudi kama utaifa.

Pili uwepo wa Yesu duniani ni kweli na ushahidi wa kimazingira hadi sasa upo mkuu. Acha kupotosha jamaa yangu.
 
Dini zetu za kweli tuliziacha tukafata matatizo, huyo mjapan anayetutengenezea mashangingi tunayojidai nayo ni mkristo au mwislam? Tukiumwa tunakwenda kutibiwa na waabudu ng'ombe wahindi.Kitu bora kwetu ni kujengewa kanisa au msikiti ili tuendelee kuwa mazezeta zaidi

Hizo dini zenu uliziacha wewe na nani?,nani aliyekulazimisha uziache!
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Aliyekwambia yesu ni mzungu ndiyo aliyekupotosha pia biblia inajibu swali lako
 
Acha uongo dogo. Hata kama mna movement yenu ila msiijenge katika uongo.

Uyahudi mkuu ni utambulisho wa utaifa lakini pia ni utambulisho wa kidini.

Wayahudi kama dini ni kweli hawakumpokea Kristo ila wayahudi kama taufa wapo waliompokea Kristo toka enzi na enzi na ndio maana kulikuwa na mitume wa Kiyahudi kama utaifa.

Pili uwepo wa Yesu duniani ni kweli na ushahidi wa kimazingira hadi sasa upo mkuu. Acha kupotosha jamaa yangu.

Katika vitu wazungu hawafanyi ni kufuta Historia ya jambo lililotokea . Wakati Yesu anafanya harakati za Kutangaza ufalme wa Mungu palikua na waandishi wa habari wa mfalme wa Rumi. Walikua wakiripoti na kusimulia kila tukio lilikua linafanywa kwenye majimbo yote ya utawala wake. Hakuna mwandishi angeweza kuripoti tukio la uongo .
Ndio maana Warumi walifuatilia kwa karibu sana habari za Yesu . Walihifadhi sana tarifa za Yesu na baadae wakagundua Kuwa ni mtu aliyeuawa kinyume cha sheria yaani hakuwa na kosa kulingana na sheria za Kirumi .

Wale wanaofikiri Kuwa Biblia ni kitabu cha kutunga ni waongo maana dunia nzima haiwezi kuishi kwa uongo kwa miaka 2000 wakati watu wanafanya tafiti kwa uhuru na kwa wazi.

Wayahudi wasingeweza kumwamini Yesu kwa sababu Mungu aliwafungia macho ya rohoni ili wasimwamini kwani wangemwamini asingekufa msalabani na asingeteswa maana wangempigania na wangeanzisha harakati za kueneza ukristo dunia nzima kwa kumpigania kwa vita na upanga . Wangempigania mfalme wao kwa nguvu kubwa sana lakini pangetokea vita kali sana kati ya Warumi waliokua watawala na wayahudi wenyeji . Jeshi lote la Rumi lingehamia pale na Jeshi la Mbinguni lingeshuka kuwaangamiza wote .Yesu alikua na Mamlaka ya kuagiza jeshi la malaika likashuka kupigana.
Yesu hakuja kutumikiwa bali kutumikia,hakuja kuua bali kuponya ,hakuja kuangamiza bali kuokoa.
 
Back
Top Bottom